Sitaki CCM lakini namtaka Magufuli

Unamtaka magufuli na katiba inayopendekezwa? Yeye yupo kwenye msimamo wa ccm wa kuhakikisha katiba yao inapita kwa namna yo yote. Katiba inayotokana na maoni ya watanzania tutaipata ukawa wakishika dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…