Huyu mzee angekua amehamia Ukawa ningempa kura yangu
Huyu mzee angekua amehamia Ukawa ningempa kura yangu
Huyu mzee angekua amehamia Ukawa ningempa kura yangu
Nimemsikiliza sana Magufuli ni mahiri kwa kupiga domo. Nikamsikiliza na Lowassa ni mahiri sana wa kutoa maneno yenye hekima na busara. Nikagundua rais atakayetufaa wana wa nchi ya Tanzania ni Lowassa, hivyo basi mimi na nyumba yangu tutampa kura Lowassa! Hii ni kutokana na ukweli kwamba awamu iliyopita tulikuwa na Rais Kasuku haijapata kutokea, lakini maendeleo holaaaaa! Hivyo sitaki tena kumwona Kasuku akienda ikulu kwenda kupiga porojo. Tunahitaji maneno machache vitendo zaidi!!
Democracy brah...! Muache aamini anachoamini. Hata mimi nilikuwa mfuasi mzuri wa upinzani, at the end naona upinzani hawana lolote. I'd rather vote for Magufuli.Haahaahaaa sitaki nyama ya nguruwe ila mchuzi wake nataka! Hivi unawezaje kumtofautisha magufuli na CCM? illogical reasoning!