Sister duuuuuuuuuuuuuuuu

prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
156
Jamaaa kaopoa bone la Duu , kila baada ya sentensi mbili kiingeleza yaan yuo know you know nyingi tuu,

jamaa akaone huyu demu wa viwango vya kwa Obama , akaamua kumpeleka hoteli nyota tano wapate lunch then wafanye yao.

Muudumu: karibuni wapendanao naomba niwahudumie.

Mkaka: nipe menu kwanza.

Muudumu : na wewe mrembo nikupe nini?

Mdada : Na mi nipe hiyohiyo menu ila usiweke pilipili kabisa , tomato weka kwa mbali na mayonaiza kidogo tu si unajua nakeep figure.

mie nilikuwa meza ya pili nusura nizimie kwa kicheko......................
 
LOL, hiyo kali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…