sista malaya na mamadadapoa ni akina nani hao
unaweza nisaidia job desc zao mpenzi
NANAANI KAKWAMBIA UKICHUMBIWA LAZIMA UOLEWE ..NA UKIOLEWA NI LAZIMA UACHIKE???
Jamani wanawake sio majamvi ya wageni. Hiki ni kilio cha wanawake wote duniani. Hebu ona mfano huu: Ni kwamba leo unatongozwa na Mentor unagundua ana vimada kibao nje unaachana nae. Mwezi unaofata unakuwa na CHAMVIGA 1 anaenda kwao anapewa mke na wazazi wake anakuacha. Unakutana tena na ddsmchau1712 anakuomba muwe wachumba mnakaa miaka kadhaa hakuna dalili ya ndoa unaamua kumuacha na mnakutana tena na mtoto wa mtumishi wa bwana Jamaa_Mbishi wazazi wake walokole wanagoma usiolewe naye mnaachana. Baada ya muda unakutana na Rutashubanyuma dada zake wanamzuia asikuoe kutokana na tofauti ya kabila. Sasa utafanyaje? Kama umeelewa kuanzia leo msituite malaya na pia hatubadili wanaume kwa kujitakia ni mazingira magumu yanachangia.

Kwa hiyo kila anaekutongoza, we twende tu???!!
Tatizo wadada hamjui kukataa
Yote hayo ni majina, cha muhimu ukiona unataka kuwa kama flani basi simama kuanzia hapo na safisha njia. Namaanisha yaliyopita si ndwele tugange yajayo, kuanzia sasa ikitokea mtu anakuapproach na kutaka mahusiano na wewe usimpe papuchi ili list isiendelee ila mnakuwa marafiki tuu na hakikisha una maintain hiyo status sio unamnyima huyo halafu unampa hassan utaharibu kila kitu. Tangu mwanzo umueleze msimamo wake kwako na wewe umwambie msimamo wako kuwa umejikuta umetembea na wanaume kama 5 na umwambie kila kitu usimfiche tangu wa kwanza hadi wa mwisho kisha mwambie nimegundua makosa yangu na sitaki kuendeleza. Kama uko sirias na umeridhika na mimi nenda kwa wazazi wangu tuishi pamoja papuchi yangu utapata laah bora utafute kwingine. Na useme hayo ukimaanisha na ukijiamini na wala usiweke mbele kuolewa, ndoa inakuja baada ya mahusiano kunoga na mahusiano si lazima ngono.
No one will call you prostitute after then once you decide not to take out ur pant.