hehehehe haya bana, unatolewa M 10 akirudi usiku usiulize alikua wapi? lol, maana kakunua wewe! Gari haligomi kwa dereva.lol
Khaaa! Umepata ujumbe gani hapa?Haya Babu ujumbe umefika
Bia kadhaa zinakuhusu leo
Ningekuwa karibu leo ungekaa kaunta ya juu na unywe unachopenda
Hivyo umekubali bibi nae akate kiu zao?
haki ya nani Mwalimu sikujua kua zawadi nayo inapangiwa bei..lolMahari si bei ya ununuzi, mahari ni zawadi. Hatutaki wanaume wabaghili. Kama huna milioni kumi ya zawadi kwa mwanamke atakaekuwa nawe maisha yako yote chapa lapa...............lolz
Sasa ODM,mmoja tu pasua kichwa wawili si ndo balaa!Mi sitaki wawili nataka mmoja tu tena awe hajui kusoma wala kuandika,sitaki awe anajua haya mambo ya globolaizesheni,ni tabu tupu!Yeye ni kupika na kuijali nyumba tu!
Khaaa! Umepata ujumbe gani hapa?
Hivi huna habari kuna wanaume wasio na wakuwakatia kiu zao? Unaonaje bibi nae akatoa msaada?
Mwanaume rijali anamridhisha mwanamke wake physically na emotionally. Kama mwanamke wakpo anaridhika emotionally kwa kuchelewa kwako kurudi kila mara,its well and good. Msidanganyane hapa wengine wakaenda kuondolewa uanaume wao na wanawake zao!
Hahaha. Anawadanganya wenzie kwenye keyboard, kuna wanaume wake zao mabaunsa bana, achelewe aone cha moto, lol..
Haruhusiwi........ bibi si mwanaume!
Babu,
Namba tatu
labda wa zamani, siku hizi
ni wachache wanaowajibika ipasavyo
SL siri yangu
Ujumbe nilioupata unaweza ukawa sawa na mada hapo juu au ukawa kinyume chake
ndo maana wanasema akili za kuambiwa
haki ya nani Mwalimu sikujua kua zawadi nayo inapangiwa bei..lol
Haki sawa Eiyer,SL hapo unatafuta kilichomtoa kanga manyoya!Shauri yako!
Ndo maana wanawadunda wanawake!Unatoa mil 10,halafu gem unapewa kama mgawo wa umeme!!Hapo lazima meno ya varandani yawe halali yangu!!
Mahari si bei ya ununuzi, mahari ni zawadi. Hatutaki wanaume wabaghili. Kama huna milioni kumi ya zawadi kwa mwanamke atakaekuwa nawe maisha yako yote chapa lapa...............lolz