Sisi ndio wanaume bwana!

"Ikumbukwe kuwahi kurudi nyumbani si sifa ya mwanaume. Mwache Mwanamke wako awe na muda wa kuwa huru na kulea watoto."

Hilo nilikuwa silijui, huwa nawahi kurejea nyumbani. Itabidi nianze kuwa mtoro sana home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…