Sisi ndio wanaume bwana!

Wee mchar......Aah we chauro hako katoto kapeleke shule.Acha kukafikiria mambo ya ajabu!!
 
Babu bana,mwanamke mmoja na nusu!Sasa yupi huyo atakubali kukatwa abaki nusu?
 
miaka inaenda na mambo yake unataka kuniambia hawa wanaume huku hawakwenda shule au hawakuwahi kuwa watoto.............

hapo kwenye mchar..............inasimama badala ya nini?

Wee mchar......Aah we chauro hako katoto kapeleke shule.Acha kukafikiria mambo ya ajabu!!
 
Wanawake watakuja wametoa mimacho we acha tu!Unawaambia wanamilikiwa!Lakini kweli,mahari sijui milion 4!Sasa anatofauti gani na aliynunua gari kisha kulimiliki?Naanza kuona ukweli kwenye kauli yako babu!....
 
Babu bana,mwanamke mmoja na nusu!Sasa yupi huyo atakubali kukatwa abaki nusu?
Too eassy! Wanawake watatu mnagawana wanaume wawili. Kila mmoja na nyumba kubwa yake, mwanmke wa tatu ni nyumba ndogo, anawapangieni zamu kwa mujibu wa kujitutumua kwenu, anayetoa dau kubwa zaidi anapewa umuhimu kwa kwanza.
 
kamata tano zako kamanda, hapo ni kama umeikamilisha wikiedn yangu, duuuuuuu!
Pamoja mkuu! Sisi ndio wanaume bana!

Babu bana,mwanamke mmoja na nusu!Sasa yupi huyo atakubali kukatwa abaki nusu?
Ndyoo vile sasa, inabidi wanaume wengine wakamate wanawake wawili na wengine wabakie na mmoja.........
 
Too eassy! Wanawake watatu mnagawana wanaume wawili. Kila mmoja na nyumba kubwa yake, mwanmke wa tatu ni nyumba ndogo, anawapangieni zamu kwa mujibu wa kujitutumua kwenu, anayetoa dau kubwa zaidi anapewa umuhimu kwa kwanza.
Aisee mukulu una kaa pande ya wapi? Unanidai bia kazaa mwanaume mwenzangu.........
 
Nimependa namba tatu, mstari wa mwisho.
'Kama huna uwezo kwa nini uzae kama kuku'?

Zaidi sana uwe na week end njema.
 
Wanawake watakuja wametoa mimacho we acha tu!Unawaambia wanamilikiwa!Lakini kweli,mahari sijui milion 4!Sasa anatofauti gani na aliynunua gari kisha kulimiliki?Naanza kuona ukweli kwenye kauli yako babu!....

Unadaiwa milioni nne unatoa povu, jee ungedaiwa 10 kama wenzio wanavyofanyiwa!

Kama huna hela chapa lapa ...........:]
 
Sasa ODM,mmoja tu pasua kichwa wawili si ndo balaa!Mi sitaki wawili nataka mmoja tu tena awe hajui kusoma wala kuandika,sitaki awe anajua haya mambo ya globolaizesheni,ni tabu tupu!Yeye ni kupika na kuijali nyumba tu!
 
hahahaha...nakupendaga sana!
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…