sii vizuri kuanza kukujadili wewe kwa sababu tu ni Mwanasiasa..Hivyo utaona kwamba kichwa cha mada yako kimetupelekea kufikiria vitu tofauti kabisa na maelezo yaliyofuatia...
[/QUOTE said:
si vizuri sana kujadili wanasiasa kwani kwa kufanya hivyo si tu mnapoteza muda wa ujadili masuala muhimu, bali pia mnaharakisha kuwaua kisiasa hao wanasiasa. mi si mmoja wa wanasiasa wanaopenda kujadiliwa.
kichwa cha habari kinaendana na dhamira ya ndani ya mwanasiasa yoyote wa kweli kiuhalisia. najua TZ sasa tunafahamu vizuri tofauti ya wanasiasa wasio wanasiasa na wanasiasa halisi, ndio maana sasa tunazungumza habari ya kutenganisha siasa na mambo mengine.
mimi na tanzania, sisi na tanzania... sote na tanzania, ni kauli halisi ya mzalendo halisi