Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,247
- 93,769
Heeeee jaman ,, kwanza tunakutania ndo ushauri unafuata !!.Kuna mijitu humu ya ajabu,mi nimeomba ushauri lakni,midomoooo mara wooo ,mara wooo,itabidi nilefti coz nimeona humu hakuna jipya kulingana na majibu yao,wanaume ovyoo humu
Mh yanatakiwa maombi kabambee ana pepo huyuNi mwendo wa mbupu tu na ata nyasi zitalika ilimradi mtiano uwepo
Mazuri wachukue mabaya wayaache, karibu mkuuHahaa na imani kubwa vijana wanafuata ushauri wako vilivyo....
Huyu ni Mwanamume Mkuu anachezea akili za watu...
Wacha ujinga, wewe ME kwa mujibu ya maelezo yako, sasa sjui ndio wale wale
Ahsante mkuu... mimi kwa upande wangu huwa napita kuchukua ma information ili siku nikiwa na kwangu yasije kunipata haya yanaotokea watu humu ndani...Mazuri wachukue mabaya wayaache, karibu mkuu
Kama ya kuunganisha bao 4, kila la heri mkuuAhsante mkuu... mimi kwa upande wangu huwa napita kuchukua ma information ili siku nikiwa na kwangu yasije kunipata haya yanaotokea watu humu ndani...
Kaka usichezee akili za watu.... wewe ni mwanaume...huwa ninawajua tuuu...hapa nina kitufe cha kujua jinsia ya Mtu Mkuu...ukiendelea na Tabia hii na wenzako tunaajua na wameweka Avator za kike...tutawawekea "Tego"Mimi ni mwanamke,umri wangu ni miaka 25,ila sijaolewa na bado sijazaaa
Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi ,tulipendana sana,ila Mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana,
Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba,ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27,ila yule wa awali alikuwa na 35,
Huyu kijana mbichi,ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals,na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali,hadi kesho yake tena,na kesho yake ndo hivo hivo
Jaman naombeni ushauri,nimuache au ila hela kwake siyo tatizo,hata nyumba kanipangishia,
Naombeni ushauri jamani
Walipueni jamani wanakeraKaka usichezee akili za watu.... wewe ni mwanaume...huwa ninawajua tuuu...hapa nina kitufe cha kujua jinsia ya Mtu Mkuu...ukiendelea na Tabia hii na wenzako tunaajua na wameweka Avator za kike...tutawawekea "Tego"
Nina hamu ndio, unataka kunipa nije?Naona unaham unifahamu,kesho njoo Chalinze
Mimi bao mbili zinatosha kabisa na mama hapo anatoka amekubali shoo....Kama ya kuunganisha bao 4, kila la heri mkuu
Ukikutana na pango atakunanga mpk ujute, mapenzi ni raha na utamu wa pande zote mbiliMimi bao mbili zinatosha kabisa na mama hapo anatoka amekubali shoo....
Mapenzi si kukomoana bado...piga sho ya kiutuuzima wote mfurahi .......na si kukesha kusumbua kitumbua cha mama...ili kumkomoa...
hahah... akianzisha hivyo taraka itabidi imuhusu hakuna namna..... itabidi mwisho wa siku akubaliane na hali halisi mama...Ukikutana na pango atakunanga mpk ujute, mapenzi ni raha na utamu wa pande zote mbili
mtembelee gerezani kila jumamosi akawe anakupa magoli ya okwi siku hizi kuna chumba wanaruhusu.hii kitu kipo kichwani kwahiyo hata akija mwingine mwili na kichwa hakitatoa ushirikianoMimi ni mwanamke,umri wangu ni miaka 25,ila sijaolewa na bado sijazaaa
Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi ,tulipendana sana,ila Mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana,
Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba,ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27,ila yule wa awali alikuwa na 35,
Huyu kijana mbichi,ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals,na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali,hadi kesho yake tena,na kesho yake ndo hivo hivo
Jaman naombeni ushauri,nimuache au ila hela kwake siyo tatizo,hata nyumba kanipangishia,
Naombeni ushauri jamani
Kabisahahah... akianzisha hivyo taraka itabidi imuhusu hakuna namna..... itabidi mwisho wa siku akubaliane na hali halisi mama...
Mmmh..haya mkuu asanteSijawahi kukuona umechangia point kama leo