Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Siri za Vidonge vya kizungu (Drug) havitibu maradhi uliyo kuwa nayo tu mwilini bali vinauwa kinga ya mwili wako (white cell) taratibu na kukuletea maradhi mengine utakuwa kila siku unakwenda kununuwa dawa kwenye maduka ya dawa unakuwa ni mteja wao siku zote mpaka mwisho wa uhai wa maisha yako. Unatakiwa uwe muangalifu kutumia Vidonge. Na Ma-Daktari hawawezi kukwambia hayo ninayo kwambia mimi sio rahisi wameapishwa wafiche siri ya U-Daktari.Hii ina apply hadi kwa akina kalumanzira? Au wao wakikuzindika ndio final hawataki urudi tena.
Mkuu kwa ufupi Dawa za kizungu aka Vidonge vina madhara, viwanda na makampuni wanatengeneza vidonge ili visiweze kuwatibu watu kwa uhakika uwe unanunuwa kila siku kidonge ili uweze kupona hata huponi. Na kiwanda cha kutengeneza vidonge kinapata faida kubwa toka kwako wewe mnunuzi.Ushauri wangu Unapo kwenda kwa Daktari unamueleza maradhi yako akikuandikia dawa za vidonge mwambie pia akuandikie na vidonge vya vitamin ili uweze kupunguza ukali wa sumu ya kidonge alicho kuandikia nguvu yake. Ushauri mwengine pendelea kutumia dawa za asili ndio nzuri zaidi tena hazina madhara kwa Afya ya binadamu kuliko kutumia vidonge vya kizungu (Drug) vina madhara makubwa kwa afya yako.Jamani hivi maelezo yote haya hakuna kiswahili hata kidogo
Side effects za dawa za hospital nazijua kitambo sana ndo maana niliacha kutumia ,dawa zangu ni za kisunna tu siku hizi.Mkuu kwa ufupia Dawa za kizungu aka Vidonge vina madhara viwanda na makampuni wanatengeneza vidonge ili visiweze kuwatibu watu kwa uhakika uwe unanunuwa kila siku kidonge ili uweze kupona hata huponi na kiwanda cha kutengeneza vidonge kinapata faida kubwa toka kwako wewe mnunuzi.Ushauri wangu Unapo kwenda kwa Daktari unamueleza maradhi yako akikuandikia dawa za vidonge mwambie pia akuandikie na vidonge vya vitamin ili uweze kupunguza ukali wa sumu ya kidonge alicho kuandikia nguvu yake. Ushauri mwengine pendelea kutumia dawa za asili ndio nzuri zaidi tena hazina madhara kwa Afya ya binadamu kuliko kutumia vidonge vya kizungu (Drug) vina madhara makubwa kwa afya yako.
So wamanisha hata wale wa product za Forever...hutengeneza wateja na si kutibu magonjwa?Siri za Vidonge vya kizungu (Drug) havitibu maradhi uliyo kuwa nayo tu mwilini bali vinauwa kinga ya mwili wako (white cell) taratibu na kukuletea maradhi mengine utakuwa kila siku unakwenda kununuwa dawa kwenye maduka ya dawa unakuwa ni mteja wao siku zote mpaka mwisho wa uhai wa maisha yako. Unatakiwa uwe muangalifu kutumia Vidonge. Na Ma-Daktari hawawezi kukwambia hayo ninayo kwambia mimi sio rahisi wameapishwa wafiche siri ya U-Daktari.
Mkuu Hao wanaotengeneza Dawa za (product za Forever) ni sawa sawa na Dawa za kizungu vidonge. Ukiona Dawa ya Mitishamba imeandikwa hivi (date of production and Expire Date) ujuwa hiyo dawa ina sumu ndani yake Dawa nzuri ni dawa ya mitishamba iliyokuwa haina hayo maandishi.Iweje Mti uwe na tarehe ya mwisho wa kutumia? tangu lini Chungwa au embe au kitunguu saumu kikawa na Tarehe ya mwisho kutumika? Ukiona chungwa au Embe au kitunguu Saumu kina tarehe ya mwisho kutumika ujuwe hayo sio matunda Orignal ni matunda feki.So wamanisha hata wale wa product za Forever...hutengeneza wateja na si kutibu magonjwa?
Zipo Dawa za kukutibu maradhi yako ya mgongo mimi huwa sipendi kumpa mtu dawa atumie mpaka kwanza nijuwe ni nini chanzo cha maradhi yake mgonjwa mpaka ukaumwa na hayo maradhi ya mgongo? Ndio hapo ninapo toa dawa ya kukutibu hayo maradhi yako ya mgongo. Kama unajuwa chanzo cha maradhi yako unaweza kuniambia la kama hujuwi chanzo cha maradhi yako nenda kapime hospitali ninakupa ushauri kapige XRAY ya mgongo,kapime mkojo wako na Damu utagunduwa ni nini chanzo cha maradhi yako ya kuumwa na mgongo kisha uje unipe mrejesho wako umeambiwaje huko hospitali? Usipende tu kula dawa za kuondowa maumivu pasipo na kujuwa chanzo cha maradhi yako ni nini?Unameza Dawa ya Nurofen unapata nafuu kwa muda kesho yake unaumwa tena na hayo hayo maradhi yako ya mgongo. Unakuwa hujitibu hayo maradhi bali unapunguza maumivu tu maradhi yako pale pale.Je unajuwa madhara ya kutumia kwa wingi kwa hiyo dawa ya Nurofen? Ukitaka Tiba yanguMzizimkavu: Asante kwa maelezo, Mimi naumwa mgongo sana, kila nikimeza Nurofen nasikia nafuu sana, nalala vizuri. Kwa sasa imekua ndio jadi yangu kila nikisikia vibaya lazima nipate Nurofen. Je kuna dawa ya mitishamba inaweza tibu mgongo?
Chakula au Dawa inayowekwa Tarehe ya ku Expire inakuwa na sumu fulani ambayo ina madhara kwa binadamu. Chakula au dawa za mitishamba huwezi eti kukaa nayo kwa muda wa miaka 3 kama unavyo sema sasa ukikaa na gunia la mahindi kwa muda wa miaka 3 ulikuwa wewe unakula nini kila siku ya maisha yako? Au ulikuwa unakula mawe nini? jiulize wewe mwenyewe na tumia akili yako utapata jibu. Tofautisha chakula unacho nununwa Sokoni kipo Fresh na chakula hicho hicho ukienda kununuwa kwenye duka la Supermarket chakula che Mabox chenye Tarehe ya ku Expire Date je vitakuwa vyakula sawa kiafya?Na kubaliana nanyi kwenye baadhi ya vitu na kuna baadhi ya mambo hamko sawa hakuna chakula chochote kinaweza kukaa kwa muda mrefu bila kupoteza ubora wake!
Mfano hayo mayai ukiyaweka kwa muda lazima yawe mabovu na Ndiyo ku expire kwenyewe .
Hata mahindi ukiyahifadhi kwa miaka mitatu au zaidi hupoteza ubora hata ugali wake unatofauti Radha.
Mimi naona kuwekwa kwa expire date ni utaramu tu unao Saidia kujua kuwa chakula kimepoteza ubora wake kwa matumizi ya binadamu .
Sioni hoja yamsingi ya kusema chochote chenye expire date kinamadhara .
Zipo Dawa za kukutibu maradhi yako ya mgongo mimi huwa sipendi kumpa mtu dawa atumie mpaka kwanza nijuwe ni nini chanzo cha maradhi yake mgonjwa mpaka ukaumwa na hayo maradhi ya mgongo? Ndio hapo ninapo toa dawa ya kukutibu hayo maradhi yako ya mgongo. Kama unajuwa chanzo cha maradhi yako unaweza kuniambia la kama hujuwi chanzo cha maradhi yako nenda kapime hospitali ninakupa ushauri kapige XRAY ya mgongo,kapime mkojo wako na Damu utagunduwa ni nini chanzo cha maradhi yako ya kuumwa na mgongo kisha uje unipe mrejesho wako umeambiwaje huko hospitali? Usipende tu kula dawa za kuondowa maumivu pasipo na kujuwa chanzo cha maradhi yako ni nini?Unameza Dawa ya Nurofen unapata nafuu kwa muda kesho yake unaumwa tena na hayo hayo maradhi yako ya mgongo. Unakuwa hujitibu hayo maradhi bali unapunguza maumivu tu maradhi yako pale pale.Je unajuwa madhara ya kutumia kwa wingi kwa hiyo dawa ya Nurofen? Ukitaka Tiba yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Haya nenda kapige XRAY Tuapate kujuwa ni nini chanzo cha maradhi yako uguwa pole.Huu mgongo umeanza kuniuma tangu nikiwa mdogo, Kama miaka 15 hivi iliyopita. Na kadri ninavozidi kua Mtu mzima na maumivu yanaongezeka. Sasa Hosp xRAY sijawi fanya, zaidi ya massage ndio nimefanyiwa sana Hosp. Sasa nikafikiri itakua shauri ya kazi nyingi vijijini, mala kuchota maji mtoni, ya kupikia, ya ngo'mbe ya kuoga baba. Unajikuta umeenda mala tatu mtoni na ndoo ya Lita 20 kichwani. Hiyo ni kila siku, kila weekend kwenda kutafuta kuni umbali wa km10 kwenda na kurudi na mzigo wa kuni kibao, na maji lazima yawepo ndani. Kwenda kusaga unga na machine za kusaga zipo umbali wa km 15. Umri mdogo mizigo mikubwaaa kichwani! Daa yani nahisi ndio hizo sababu mkuu. Ila ntaenda XRAY Kama ulivyonishauri.