heheeh dah! hii ilifaa ikuwe jina la wimbo. hivi be open shosti wewe as wewe unapenda mwanaume akuwe na limit gani katika lifestyle yake? , i hope hatulichakachui hili sredi muhim la kokudo
ili tusiichakachue sana acha nimalizie kwa suala la mwisho la nyongeza. kwanza nakubaliana na jibu lako full mark, lakini hauoni kwamba wanaouintertain usharobaro ni wanawake? wanawake wanatoa attention kwenye usharobaro zaidi kuliko uhalisia wa mwanaume. am i right?tukienda huko utakuwa uchakachuzi kwa kiwango cha juu kuzidi hata ya ule wa Ivory Coast,ila mwanaume anapaswa awe mwanaume nadhani zamani kulikuwa na wanaume wengi sana ila siku hizi wanahesabika....ukilinganisha wanaume wa zamani na wasasa unaweza kupata jibu la swali lako.kama sijajibu nambie.
ili tusiichakachue sana acha nimalizie kwa suala la mwisho la nyongeza. kwanza nakubaliana na jibu lako full mark, lakini hauoni kwamba wanaouintertain usharobaro ni wanawake? wanawake wanatoa attention kwenye usharobaro zaidi kuliko uhalisia wa mwanaume. am i right?
hehehe poa poa! kuna kagonjwa kanapaparika hapa acha nikadunge dozi kapate kusinzia. senks for ur mighty company. halaf huyu mleta sredi mbona haonekani ? au keshaenda kwa washkaji kumwaga data zetu?mhh sidhani ila vaa viatu vyao kwenye wanaume kumi tisa masharobaro,unahitaji mpenzi utamsubiria huyo mmoja na pengine usimpate au utajifunga mabomu yakakulipukie mbele ya safari?
hehehe poa poa! kuna kagonjwa kanapaparika hapa acha nikadunge dozi kapate kusinzia. senks for ur mighty company. halaf huyu mleta sredi mbona haonekani ? au keshaenda kwa washkaji kumwaga data zetu?
gud nite shosti
Japo krokwin chungu ila hii lazma waitafune hapa password lazima ha ha ha teh!teh!mara nyingi vinakuwa na hela za kuhonga lipstiki sasa na wachumba wenyewe wa leo wakigaiwa hela ya kununulia nokia tochi tu wanamwaga data zote za mjomba kokudo. khaaa! hii dunia inabidi tuishi kwa password tu.
Aaaaah acha hz mkuu.wanadai umbeya suna ha ha hamimi niliposoma heading nilifkiri kokudo anataka kulembea mistari kwa shosti bana! kufungua sredi kumbe analeta habari za kitchen party. hao madingi wenyewe sku hizi fulu umbeya itakuwa vifalanga ? hapa tunampigia nguruwe ndombolo tu.
Klorokwini na shosti mmeishambulia kweli sledi hii kumbe mlikua mnaufukuza usiku?jamani ckwenda kwa washikaj kumwaga data zenu napost via mobile chaji ilikwshahehehe poa poa! kuna kagonjwa kanapaparika hapa acha nikadunge dozi kapate kusinzia. senks for ur mighty company. halaf huyu mleta sredi mbona haonekani ? au keshaenda kwa washkaji kumwaga data zetu?
gud nite shosti
nani alaumiwe maana kitchen party siku hizi ni za kukusanyia zawadi na hata wale watu wazima walokua wakitutupia vijineno viwili vitatu siku hizi hatuna muda wa kupoteza nao japo kwa dk5 kwa mwezi unategemea nini,na wanaume ndo kabisaaa wameachiwa dunia na washkaji vijiweni au bar watupe darasa ilhali yeye anashinda baa kwa kuwa kwake hakukaliki wala hakushindiki:washing:
Ha ha ha wakisikia hamu ya kitchen party ki2 mezani imekua fasion hakuna cha kungwi wala nini.mtu kuna watu mpaka sahivi washafanyiwa kitchen party zaidi ya tano.
Wengine na kuzaa washazaa. Kuna vidada siku hizi vikikosa channel ya pesa vinajiandalia kitchen party. Lol!
klorokwini&shosti mmelala jamani!?