Siri ya umaarufu na ushindi wa Lowassa


Popularity and sympathy zitampa ushindi Lowassa. Wapo watu hawawezi kutoka CCM kimwili but kimawazo wapo UKAWA. Kura zao kwa Lowassa.
 
I’d rather welcome change than cling to the past. #Change #ChangeIsGood
 
Yaani hili jina la LOWASSA kwa wengine likisikika ni kama wamesikia simba mioyo yao inafanya paaaa. Mabadiliko muhimu hata mkituambia haongei huyo huyo tunamtaka.
 
Dr. Hakuwa na jipya kama ni richmond tunaifahamu kwa miaka 8. Kura yangu ni kwa LOWASSA na UKAWA mwanzo mpaka mwisho. Asituletee ujinga yeye ndiye alimpokea Eddo na kumpeleka kwa Mbowe cjui wakti anampeleka kwa mbowe hakujua yote hayo.
 
Kweli kabisa,Wenye akili "mlegezo" hawawezi kuelewa huu uzi. Big up mkuu
 
Anatembea mwenyewe, hatukani mtu... kawaacha wabunge wa chadema wote wako majimboni yee anapiga kazi tuuu na umati anaopata unapelekea jasho liwatoke hukoooo
lowasa kanifundisha jambo kubwa sana katika maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…