URA YANGU NI HALALI KWA MGOMBEA URAIS MWENYE SIFA ZIFUATAZO:
1.Lazima awe na tuhuma za wizi
2.Awe mchafu
3.Aliyehama Cycyem kwa kukatwa!
4.Awe aliwahi kuwa Waziri mkuu wa Kataifa Kangu.
5.Ni lazima atoke Monduli
6.Awe na Mvi
7.Mikutano yake ni lazima iwe katika mfumo wa mafuriko,tsunami n.k
8.Awe na PESA hata kama si za halali!
9.Awe na marafiki kibao wenye fedha kutoka mataifa yaliyokwisha endelea.
10.Awe na Mali isiyohamishika ndani na nje ya Tanzania
11.Ni lazima awe amehusishwa kwa kina na kashfa ya Richmond
12.Anayesingiziwa kuwa ni mgonjwa.
13.Hotuba yake ya ufunguzi wa kampeini ni LAZIMA niwe niliisoma Kwenye tovuti ya chadema
14.Awe anauchukia umaskini,kwa hiyo ni Lazima awe Tajiri kiasi chake!
15.Awe amehama majuzi katika chama dola
16.Awe si MTU wa kuongea sana majukwaani,dakika 8-11 zinatosha !
KURA YANGU YA AJABU SANA
17.Haijali kama maendeleo yatakuja ama laah!,ila sasa inamtaka mgombea urais ambaye hapendwi na chama dola kuliko wenzake wote!
ENL pamoja