Siri ya picha

kat.ph

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,221
Reaction score
1,679
Sasa nimeelewa alichomaanisha @mshanajr aliposema kuna siri kwenye picha tunazopiga. Na huja kubainika baadae...

Mshana njoo huku

 
Kweli kabisa. Mpaka nimecheka.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii picha imenichekesha sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa nimeelewa alichomaanisha @mshanajr aliposema kuna siri kwenye picha tunazopiga. Na huja kubainika baadae...

Mshana njoo huku
View attachment 406706
View attachment 406707
Hii wala haihitaji akili kugundua kilichomo moyoni, iko wazi kabisa kuwa hapendi hicho kinchosemwa hapo. Kuna picha ambazo ni vigumu kubaini nia mbaya au nzuri kwa maana ya kutumia rangi za nguo, pozi, jinsi watu walivyojipanga n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…