Siri ya ndoa kudumu

LENGISHO

Senior Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
169
Reaction score
265
Ndoa za wazaz wtu zilikuwa znaumu maana walikuwa wannalala vitanda vya 4*5 wakigombana usiku lazma wapatane lkn siku hiz wananndoa wanalala 6*6 au 5*6 usiku kila mtu na kona yake pale ugomv unapotokea .... Zero distance hakuna
 
Sio 4*5, sema 2*5 kabsaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…