Ni nini cha hatari kwa watoto kuona katika tamthiliya ile? Mimi nimeangalia yote sijaona cha ajabu ambacho hatakiwi mtoto kuona? Au ndiyo maadili yametukaa sana? Tamthiliya inaonekana haifai, wakati kila kuchapo watoto wanaangalia miziki ya bongo fleva ambayo watu wanacheza nusu uchi na kubusiana na kukumbatiana watakavyo na hatuoni kama ni hatari kwa watoto.