Hellow ,,
Tunaelekea kufunga mwaka ,niwatakieni kila la kheri
Ninaomba ushauri ,nimekuwa napenda kutafuna mbegu za maboga nyakati za usiku(kama mlo) na nikitafuna saa 1 saa 2:30 nakuwa nasinzia fofofo
Basi nikawa nadhani ni uchovu tu nisipotafuna wala silali mapema
Sasa nikafanya majaribio kama mara 3 nikatafuna mida ya saa 5 hivyo hivyo nasinzia tu
Je? Kuna uhusiano wowote baina ya mbegu za maboga na usingizi?? Hapa yenyewe nimetafuna saa 3 na nina sinzia tayari
Wacha nilale nitakuja kusoma comments nikiamka