Siri ya matusi bungeni

Siri ya matusi bungeni

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Kuna tetesi kuwa siri ya matusi bungeni ni mkakati maalum wa kuzima hoja nyeti hasa kuhusu uozo wa bajeti ya mwaka huu na kubaki kubishana katika mambo yasiyo na tija kwa taifa.
 
chadema wameishiwa na mbinu za kuikabili ccm,wanataka washinde kwa kusaidiwa na ccm,haiwezekani ccm ni chama cha siasa lazima kiweke mikakati kuendelea kushika cola,,sass ona badala wajenge hoja wamekazana mwongozo wa spikaaaaa
 
Enzi za slaa bungeni tofauti ilionekana chadema hawajajua tundu lissu anawamaliza umma unawadharau ndo mana wakiitamikutano sasa watu hawataki
 
Hapana aisee, inaudhi enzi za silaa hatukuua na spika oovyo kiasi hiki ndo maana hali ilikua tulivu, Hivi wazee mnasikiliza bunge kweli au ni ushabiki tu usio na msingi?
Kuna mada mpaka aibuu, ile 29 billioni ya inovation imeniuma sana, and Mhe Mnyika anajaribu kuwaelimisha kwa calmness kubwa on better ways to use that large amount anaishia kuzomewa, kweli kwa nini watu wasikisirike kwa naiaba yetu watanzania
acheni ushabiki wakipuuzi bwana , think of ur country
 
Hapana aisee, inaudhi enzi za silaa hatukuua na spika oovyo kiasi hiki ndo maana hali ilikua tulivu, Hivi wazee mnasikiliza bunge kweli au ni ushabiki tu usio na msingi?
Kuna mada mpaka aibuu, ile 29 billioni ya inovation imeniuma sana, and Mhe Mnyika anajaribu kuwaelimisha kwa calmness kubwa on better ways to use that large amount anaishia kuzomewa, kweli kwa nini watu wasikisirike kwa naiaba yetu watanzania
acheni ushabiki wakipuuzi bwana , think of ur country aaahh sana
 
Ni mkakati mahsusi wa kufanya bunge lisirushwe live.
 
Kuna tetesi kuwa siri ya matusi bungeni ni mkakati maalum wa kuzima hoja nyeti hasa kuhusu uozo wa bajeti ya mwaka huu na kubaki kubishana katika mambo yasiyo na tija kwa taifa.

usiwe na shida mkuu wananchi(mahakama ya umma) wanajua hilo na mahakimu tumeona tumeskia shauri liko jikon!!
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom