kaka9
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 280
- 113
"Hakuna mwanamke mrahisi na hakuna mwanaume mjinga", mwanamke uliyekuwa ukimfatilia miezi 12 bila mafanikio ya kumpata,amelala na mwanaume mwingine baada ya kufahamiana nae ndani ya siku tatu,mwanamke uliyempata ndani ya wiki na ukalala nae amekuwa akifuatiliwa na mwanaume mwingine zaidi ya miezi 18 bílá mafanikio,usije ukasimama mbele za watu ukasema yule mwanamke ni mrahisi,kama amekukubali na amekupenda unatakiwa uheshimu penzi lake,wanawake mnatakiwa mjue mwanaume akikununulia iphone kwa sababu anakupenda usije ukafikiri ni mjinga,inawezekana hajawahi kumnunulia hata rangi ya kucha mpenzi wake wa zamani,usichukulie mzaa mapenzi yake kwako,unatakiwa ujue wewe ni mwanamke mwenye bahati sana,ukifanya mzaa unaweza usimpate tena mwanaume wa aina hiyo maishani mwako.ukimuona mwenzio wa nini wenzio wanawaza watampata lini,jifunzeni kuwa thamini wapenzi wenu!
Nawatakieni siku njema!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawatakieni siku njema!
Sent using Jamii Forums mobile app