Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,916 Reaction score 3,747 Feb 26, 2026 #1 Ukitaka kufanikiwa. 1.jiamini 2.Acha kamari 3.Acha umalaya oa ishi na mke mmoja 4.Pambana usilaze damu na umuombe mungu wako 5.usikate tamaa 6.usipende starehe 7.usipende usingizi amka kapambane, na mungu atakusaidia na atabariki kazi ya mikono yako
Ukitaka kufanikiwa. 1.jiamini 2.Acha kamari 3.Acha umalaya oa ishi na mke mmoja 4.Pambana usilaze damu na umuombe mungu wako 5.usikate tamaa 6.usipende starehe 7.usipende usingizi amka kapambane, na mungu atakusaidia na atabariki kazi ya mikono yako