Siri ya kuwapoteza wote

evocom

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
269
Reaction score
250
Poleni na Kazi Wanajamii.

Mimi napenda kujua siri hii maana nilijua ni mimi tu ila kumbe iliwahi,inatokea,itazidi tokea maana nimeona wengi wanaliongelea.

Kwetu wakiume nisijue na wakike kama inatokea kuna mda unakuta kila mdada,mwanamke unayeongea nae anaingia line ata kama ujapanga kuwa katika mahusiano mengine, utakuta kwa wale wasafiri kila mkoa anae, shuleni wanafunzi wanakuwa simple, vyuoni, kazini kila sehemu inatokea,
ila sasa ikitokea ukavurugana na mmoja ambaye unampenda nae anakupenda ila mkatofautiana ukabaki unajisemea si mbaya wako wengine, woote waliobaki mtavulugana, au utaona hawafai, utaanza kufuta namba, mda mwingine kila unayemgusa kukutana nae atasema yake. mwisho unajikuta huna ata mtu wa kukupiga kiss.. kazi inaanza jinsi ya kutafuta.

Je, huwa kuna siri gani apo ya wote kupotea?
 
ukiijua itakua sio siri tena
we iache ibaki kua siri

sent from aifoni seveni plasi
 
Umekunywa juisi ya aina gani wewe, au umekunywa tui la nazi
 
utakuwa umerikorofisha jini mahaba wewe
 
Hakuna siri hapo, ila Mungu anajitahid kukutoa kwenye hyo cheni yako ya uzinzi ulioitengeneza but kwakua huna ushirika naye, huwez tambua hilo, usitegemee kua ipo siku Mungu atashuka kukukataza hyo tabia but ni kwa kupitia scenario kama hizo anakua anakuepusha na mabalaa mengi. But bado hujachelewa saa ya wokovu ni sasa, tubu umrudie muumba wako. OVER....
 
sijakuelewa hapa
yani anakua na mademu wengi kwa pamoja, then ikitokea kakorofishana na mmoja anajipa moyo kua kuna wengine but unfortunately anajikuta angombana au kutoelewana na wale mademu wengine wote alowategemea kumfariji baada ya kuzinguana na yule wa kwanza
 
Yaan kwako ile when one door is closed God open an other door kwako hapo aisee njoo ufanyiwe maombi.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
ni muunganiko wa mawazo wa watu mbalimbali kwa katika eneo tofauti sio kwamba ni mtu mmoja ndo katokewa ivo apana ila ilikuwa discussion na vijana tofauti wa rika tofauti ikabidi niweke hewani
 
Ukiona hivyo ujue ulikuwa una nuksi ila ulikuwa unatembelea nyota wa huyo uliyeachana nae...



Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…