Mkuu hapo mungu mbona amehusika,
Sema ni somo refu sana,
Kulielewa linahitaji muda,
""Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake"""
Ukimpenda, kumsifia na kumuombea mema mwanadamu mwenzako basi jua kuwa mungu yupo nawewe,
Maisha hufuata mfumo wa kioo,
Ukisemacho hutoka kinywani na kuingia katika ulimwengu na kukurudia katika uhalisia,
Tukirudi katika mahusiano,
Mfano,
Ukianza kumhisi/ kumtuhumu/ kumueleza mapungufu ya mpenzi wako,
Hayo maneno huingia katika ulimwengu na kukurudia katika hali harisi,
Ni somo pana lakini nitakuwa nalieleza taratibu ili tufaidike wote.