Siri ya hotuba ya Mbowe

Inaonyesha una hasira?
 
Maridhiano: Samia karidhia kuruhusu mikutano ya kisiasa na kuahidi katiba mpya, je wengine wameridhia nini kwa upande wao?
Ni swali zuri ambalo hupati jibu.

Ngoja mimi nijaribu kukupa jibu, kutokana na ninavyomsoma Mbowe.
1. Kutoa shukrani na sifa kwa Samia
2. Kuwanyamazisha viongozi walioko Chadema wasihoji yaliyoridhiwa na mengine yaliyopiganiwa na chama lakini hayazungumziwi tena kwenye maridhiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…