Hii memo imetungwa t.b Joshua na yaliyozungumzwa hapo ni tofauti. Hakuna mtu ambae eti kwa sbb ya past yake mbaya eti hawezi kuombewa huu ni uongo. Yesu alikuja kwaajili ya hao wachafu na kingine t. B joshua hawezi kumwambia mtu mwingine prophecy yako maana hata km ni kweli haikuhusu . Acheni uongo.