Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,054
- 3,265
- Thread starter
-
- #221
Nashukuru umenielewesha unajua UKWAJU unajua nlikuwa natafuta gia ya kuingilia ili nijue kile chuo kikoje na wala hata sina nna ka diploma ka IT toka pale muccobs na nlitaka kuendelea na degree yake ICT palepale ila nkaona nsikurupuke ngoja nichek kwanza chuo cha kusoma ila kilakitu naona shda kutokana na vyuo vya kusoma na taka nsome maswala ya IT au computer engneering na matokeo yangu ya diploma yako pouwa sna tu.Npe ramani arifu niende wapi nisije kurupuka nkajikuta nalia maana si unajua mi mtoto wa mkulima au niingie education nini? Nimeona wewe ndo unaweza nishauri fresh so kama vip nruhusu niki pm basi please ni msaada nahita nko njiapanda.
kama na wewe una masters kweli basi elimu ya nchi hii ni majanga kwani unachoandika ni sawa na mawazo ya mtoto wa darasa la saba.
Mtu mwenye elimu iliyomkomboa hawezi kuwa kama wewe.
Qn of sheba nakuomba tena heshima ifuate mkondo wake .... Nakuomba kwa mara nyingine "" futa kauli yako"
huwezi niita mimi dogo .. Hunijui wala sikujui ... Na wala cheti changu cha kuzaliwa huna...na maana ya kunuita mtu dogo sijui kama unaifahamu ..
Nakuomba futa kauli .. qn of sheba.
Wewe mwenye Phd umeandika nini cha maana humu au inaleta ushabiki humu, ebu nipishe.
kwani tupo bungeni hapa basi nawewe acha kunitajataja kwenye comments zako.
Wewe ni hewa kweli na ndo maana tunakuvuta chalii angu masters kitu gani weweee mbona acha mambo ya kukurupa masters kwenye makaratasi.Masters bongo???????????????? Au ya kukaririshwa tu???? Be careful man:embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:
i
sijaona Mantinki yeyote mliyoingelea , vyote mvuongeavyo ni vitu vipo wazi tu , hakuna asiyejua Ushirika ni Constitute , na hiyo hainaina effect yeyote kwenye performance ya chuo... haijalishi ni nn lakini unapokuja kwenye swala la performance hapo ndipo utapoelewa tofauti... ! huku kusema jinaa mara ni colledge ooh hizo ni mbwembwe...
halafu ww unayesema SACCOS zinakufa kweli akili yako haiko sawa.... Labda unaishi nchi jirani ya Tanzania sina uhakika na uraia wako kama kweli upo TZ hii niliyipo mm , usingesema SACCOS Zinakufa .
Dogo usitishie watu kwa Elimu yako soma umalize ukatafute kazi ndio utaona chungu ya jiwe lkn kuwaita wenzako hawana akilimm nimrkutaja id yako na sijakutungua jina ..na nimekutaja kuihitaji ww qn of sheba uliiniita mm dogo ,kukutaka ufute kauli yako ..
Pleasee nakuomba kwa mara ya tatu futa kauli yako.
Kama umekosa point waambie Mods waifunge thread yako tusione matusi yako maana umechoka sasa unaanza kutoa vitisho ambavyo tukikujibu ni kujitafutia BANhalafu ww unayesema SACCOS zinakufa kweli akili yako haiko sawa..
unajua Mandela una matatizo au unavuta?
mm nilishakua Kiongozi wa Saccos na hunijui utaniitaje akili zangu haziko sawaau ninaishi Nchi jirani
Hii thread uliyoianzisha hukujua km ina majibu yake ? au hukujua km kuna waliosomea hapo na wakaendelea kwingine na maisha pia?
mbona toka mwanzo unajipinga na hivi sasa ziko wapi Reputation za mwanaushirika km unavyomjibu huyo Member mwenzako?
Wewe umekisifia hicho Chui chetu sawa hukuweka mapungufu
sisi tumekuambia UMETUMWA kuki PROMOT na mbwembwe nyingiii na blahblah nyingi
sasa mbona ukiitwa dogo unakuja juu kuutishia vitisho km ndio Moderator
Dogo usitishie watu kwa Elimu yako soma umalize ukatafute kazi ndio utaona chungu ya jiwe lkn kuwaita wenzako hawana akili
Kama umekosa point waambie Mods waifunge thread yako tusione matusi yako maana umechoka sasa unaanza kutoa vitisho ambavyo tukikujibu ni kujitafutia BAN
Kapumzike DOGO kabla hatu

Hapo ndio unamalizia sifa za wana-Muccobshatutaku kujua wasifu wako hapa ... ufa ye kazi SACCOS au wap hayo ni yako na wanaikuzunguka ..
akili kutokua sawa = na mtu -------- .. mpumvavu sio tusi .
a maana ya neno ... DOGO.. au uliiongea tuu
NAKUOMBA FUTA KAULI AU NIPE MAANA YA NENO ''' DOGO '"
KUA NA HESHIMA ,NIDHAMU NA ADABU ... JIBU KITU KWA UMAKINI.
FUTA KAULI
mandella
5. ADABU WALIYONAYO WANAFUNZI.
UKITOFAUTISHA NA VYUO VINGINE TENA UKIZINGATIA IDADI KUBWA YA WANAFUNZI WENGI WA VYUO NI VIJINA, VYUO VINGI WANAFUNZI WAMEKUA WAKIKOSA HESHIMA KWA KUJIINGIZA KWENYE STAREHE MBALIMBALI NA KUWAFANYA WASAHAU KILICHOWAPELEKA,ILA KWENYE CHUO HICHI , WENGI WAO WANAJIHESHIMU NA KUJUA NI NN HASA KILICHOWAPELEKA.WAHUDHURIAJI WAZURI KWENYE VIPINDI NA PIA WANAKUA NA JIT.........
hahhahhaahaha wewe unaota mchana wewe hicho chuo kinajilikana hapo tu na kilometa chache kutoka hapo hahhhahhah wanafunzi wanaotoka hapo tunakutana nao huku job cv mbovuuuu