M Mkambarani JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 287 Reaction score 252 Aug 4, 2015 #21 stroke said: Hii ndio tabu ya mitandao, kila mtu hata ambaye hakutakiwa kupata access anayo, Click to expand... Were unahaki pekee?
stroke said: Hii ndio tabu ya mitandao, kila mtu hata ambaye hakutakiwa kupata access anayo, Click to expand... Were unahaki pekee?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Aug 4, 2015 #22 Tunajua kuwa Magufuli sio president material. Tunajua kuwa magufuli sio material ya kuwa mwenyekiti wa chama. Magufuli ni pazia limewekwa kuongozwa na mafisadi walio nyuma ya pazia.
Tunajua kuwa Magufuli sio president material. Tunajua kuwa magufuli sio material ya kuwa mwenyekiti wa chama. Magufuli ni pazia limewekwa kuongozwa na mafisadi walio nyuma ya pazia.
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,292 Reaction score 4,785 Aug 4, 2015 #23 Deo Corleone said: Sawa ila ligi kuu bado siku 4 tu. Click to expand... Shilingi imeporomoka mbaya!, wale makaburu wamepandisha gharama. JF ndio sehem ya kupunguza stress.
Deo Corleone said: Sawa ila ligi kuu bado siku 4 tu. Click to expand... Shilingi imeporomoka mbaya!, wale makaburu wamepandisha gharama. JF ndio sehem ya kupunguza stress.