Nyimbo zenye hisia kaliii...."haya sasa wewe sio msanii nenda kalipize kwenye tivii" ila nature alimoenda saana huyu mdada na nadhani kuachana kwao nature aliumia kuliko sintia
Maana inaniuma na sitaki demu ni kama alimuimbia yeye tu.
"haya sasa wewe sio msanii nenda kalipize kwenye tivii" ila nature alimoenda saana huyu mdada na nadhani kuachana kwao nature aliumia kuliko sintia
Maana inaniuma na sitaki demu ni kama alimuimbia yeye tu.
Futa hii!Nature hana kipaji. Alilazimisha tu. Miziki yake mingi ilikuwa katika hiphop lakini mashairi yake hayana vina.
Kifupi tu. Nature alikuwa na upepo wa kupendwa tena na wahuni. Ila kwenye mziki sikumwelewa.
Kuna utunzi wa kuzingatia vina nk na utunzi wa melody. Nature anaweza kukusomea hata gazeti kwa kukuimbia na ngoma ikawa hitsong. Kwa fikra zangu, uwezo wa nature ni next level kabisaaa. Ni rahisi kuimba nyimbo yenye vina, maana ni kuunganisha maneno yenye uwiano. Ila kuimba kwa style ya nature ni ufundi uliotukuka. Msela anakupa story ndani ya mwimbo hadi mskilizaji unaiona movie ya matukio unayoimbiwa. Wenye ufundi huu ni ferooz, Mr blue, ngwea, jay moh n wengine wachache. Hauwezi kumuappreciare sir nature kama wewe ni muumini wa ngoma lain lain yenye beats nzito nzito, ila kwa wanaojali kuuskia ujumbe kwenye ngoma iliyobekehi ufundi, nature tumemverify. Respect sana" alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwendraaaa✋🤚Nature hana kipaji. Alilazimisha tu. Miziki yake mingi ilikuwa katika hiphop lakini mashairi yake hayana vina.
Kifupi tu. Nature alikuwa na upepo wa kupendwa tena na wahuni. Ila kwenye mziki sikumwelewa.
NakubaliHana lolote alikuwa na upepo tu.
Mwanamuziki Gani Tena Atakuja Kutoa Nyimbo Zenye Story Nzuri, Beats Nzuri Melody Tamu Hasa Hip Hop. Au Kizazi Chetu Kilishapita. Yani Kwa Sasa Wasanii Wanatoa Nyimbo Kusifia Ngono Na Pombe Tu, Wanetu Wanajifunza Nini Sababu Nao Wanasikiliza, Na Sisi Wa Miaka 90 Tushaanza Kuingia Kwenye MfumoKuna utunzi wa kuzingatia vina nk na utunzi wa melody. Nature anaweza kukusomea hata gazeti kwa kukuimbia na ngoma ikawa hitsong. Kwa fikra zangu, uwezo wa nature ni next level kabisaaa. Ni rahisi kuimba nyimbo yenye vina, maana ni kuunganisha maneno yenye uwiano. Ila kuimba kwa style ya nature ni ufundi uliotukuka. Msela anakupa story ndani ya mwimbo hadi mskilizaji unaiona movie ya matukio unayoimbiwa. Wenye ufundi huu ni ferooz, Mr blue, ngwea, jay moh n wengine wachache. Hauwezi kumuappreciare sir nature kama wewe ni muumini wa ngoma lain lain yenye beats nzito nzito, ila kwa wanaojali kuuskia ujumbe kwenye ngoma iliyobekehi ufundi, nature tumemverify. Respect sana" alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwendraaaa✋🤚
Ndio maana mimi niliacha kusikiliza. Bado nasikiliza kina Nature tuMwanamuziki Gani Tena Atakuja Kutoa Nyimbo Zenye Story Nzuri, Beats Nzuri Melody Tamu Hasa Hip Hop. Au Kizazi Chetu Kilishapita. Yani Kwa Sasa Wasanii Wanatoa Nyimbo Kusifia Ngono Na Pombe Tu, Wanetu Wanajifunza Nini Sababu Nao Wanasikiliza, Na Sisi Wa Miaka 90 Tushaanza Kuingia Kwenye Mfumo
Aisee ivi nature mwenyeji wa mkoa gani.Saivi anashinda mbagala tu analewa konyagi.