Vitu alivyovaa, bei yake inaweza kulisha nyumba ya watoto Yatima ya Dar kwa wiki nzima..... Mzee anapiga zoezi, safi na na hongera zake. Naomba nije nipewe nguvu kama nusu yake nikizeeka.
Anaweza kuwa ni Ferguson, ila siyo Alex Ferguson maana Alex Ferguson ni mtu wa mazoezi na ana stamina sio kama huyu mpanda baiskeli ana magoti kaa ngumi