Ayatollahs saivi mavi yanagonga chupi yanarudi na hivyo hawana marindaIran ijiandae itapigwa vichwa viwili tuu chaliii
Tatizo unaweza ukawa nazo lakini wakuwahii jamaa ujuwe zimekula kwako.Iran ijiandae itapigwa vichwa viwili tuu chaliii
Sure maana amedhamiria hasa hata mpaka sasa yuko kwenye stage nzuri!! Kama hana silaha basi yupo kwenye hatua nzuri ya utengenezajikuna uwezekano iran ana tech tayari ya kuunda nuke
Si Israel tu kama anazo, Russia, UK, France, US, China n.k. hawawezi kuzitumia sababu Purpose kubwa ya Nukes katika Modern War Doctrine ni kwaajili ya kutishana ili msishambuliane (Deterrence).Israel hawezi kuzitumia sababu anajua akizutumia ndo mwisho wake, yani zimebaki kama mtu kashikilia njiti ya kiberiti akisogezewa petrol inamripua yeye.
Na warusha makombora wote mashoga kutoka taifa teule!Iran ijiandae itapigwa vichwa viwili tuu chaliii
Nikishaona mtu anaanza kwa kusema taifa haramu la Israel tayari najua akili yake ikojeSIPRI: Israel ina vichwa 100 vya silaha za nyulklia
Jun 17, 2019 07:51 UTC
Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel unamiliki takriban vichwa 100 vya silaha za nyuklia.
Ripoti ya taasisi hiyo iliyotolewa leo Jumatatu imebainisha kuwa, Tel Aviv inamiliki mabomu 30 aina ya gravity (yasiyo ya kuelekezwa) yanayoaminika kuundwa kwa ajili ya kuvurumisha silaha za nyuklia.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo mpya ya SIPRI, utawala wa Kizayuni wa Israel ambao ndiye mmiliki pekee wa silaha za nyuklia katika eneo la Asia Magharibi, unamiliki vichwa 50 vya silaha za nyuklia, ambavyo vinaweza kufyatuliwa kwa kombora la balestiki la ardhini. Moja ya vichwa hivyo ni kile cha Jericho III ambacho kina uwezo wa kwenda umbali wa kilomita 5,500.
Mwaka jana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilifichua kuwa, kuna vichwa zaidi ya 80 vya nyuklia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) na hakuna hata kimoja kati ya vichwa hivyo vya nyuklia kilichoko ndani ya ardhi ya Iran.
Kwa sasa Marekani, Russia, Uingereza, Ufaransa, China, India, Pakistan, Korea Kaskazini na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo zenye kumiliki silaha za nyuklia ambapo mpaka kufikia sasa, zinamiliki zaidi ya vichwa 14,000 vya nyuklia.
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendesha shughuli zake za nyuklia kwa kificho huku ukiungwa mkono na Marekani hauko tayari kujiunga na Mkataba wa NPT unaopiga marufuku uundaji na uenezaji silaha za nyuklia.View attachment 1130787
Si Israel tu kama anazo, Russia, UK, France, US, China n.k. hawawezi kuzitumia sababu Purpose kubwa ya Nukes katika Modern War Doctrine ni kwaajili ya kutishana ili msishambuliane (Deterrence).
Ila mkuu ukiangalia list ya strongest millitaries mbona wanatupa ripoti kuwa Iran anavyo vinu vya nuclear?!SIPRI: Israel ina vichwa 100 vya silaha za nyulklia
Jun 17, 2019 07:51 UTC
Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel unamiliki takriban vichwa 100 vya silaha za nyuklia.
Ripoti ya taasisi hiyo iliyotolewa leo Jumatatu imebainisha kuwa, Tel Aviv inamiliki mabomu 30 aina ya gravity (yasiyo ya kuelekezwa) yanayoaminika kuundwa kwa ajili ya kuvurumisha silaha za nyuklia.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo mpya ya SIPRI, utawala wa Kizayuni wa Israel ambao ndiye mmiliki pekee wa silaha za nyuklia katika eneo la Asia Magharibi, unamiliki vichwa 50 vya silaha za nyuklia, ambavyo vinaweza kufyatuliwa kwa kombora la balestiki la ardhini. Moja ya vichwa hivyo ni kile cha Jericho III ambacho kina uwezo wa kwenda umbali wa kilomita 5,500.
Mwaka jana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilifichua kuwa, kuna vichwa zaidi ya 80 vya nyuklia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) na hakuna hata kimoja kati ya vichwa hivyo vya nyuklia kilichoko ndani ya ardhi ya Iran.
Kwa sasa Marekani, Russia, Uingereza, Ufaransa, China, India, Pakistan, Korea Kaskazini na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo zenye kumiliki silaha za nyuklia ambapo mpaka kufikia sasa, zinamiliki zaidi ya vichwa 14,000 vya nyuklia.
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendesha shughuli zake za nyuklia kwa kificho huku ukiungwa mkono na Marekani hauko tayari kujiunga na Mkataba wa NPT unaopiga marufuku uundaji na uenezaji silaha za nyuklia.View attachment 1130787
Ni kweli Iran ana kinu cha kinyuklia kwa ajili ya uzalishaji wa umeme, shida Ni ile takata yake baada ya uzalishaji umeme ambao madini yatumikayo ktk kinu hicho Ni uranium, urutubishaji wake ukifikia kiwango flani unakuwa na uwezo wa kutengeneza bomu la kinyuklia...Ila Nina hakika kwa Sasa Iran Hana bom la nyuklia Ila angeacha atleat miaka miwili angemiliki....waajemi Wana akili Sana wale .Ila mkuu ukiangalia list ya strongest millitaries mbona wanatupa ripoti kuwa Iran anavyo vinu vya nuclear?!
Embu tufafanulie mkuu
utawala haramu wa IranSIPRI: Israel ina vichwa 100 vya silaha za nyulklia
Jun 17, 2019 07:51 UTC
Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel unamiliki takriban vichwa 100 vya silaha za nyuklia.
Ripoti ya taasisi hiyo iliyotolewa leo Jumatatu imebainisha kuwa, Tel Aviv inamiliki mabomu 30 aina ya gravity (yasiyo ya kuelekezwa) yanayoaminika kuundwa kwa ajili ya kuvurumisha silaha za nyuklia.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo mpya ya SIPRI, utawala wa Kizayuni wa Israel ambao ndiye mmiliki pekee wa silaha za nyuklia katika eneo la Asia Magharibi, unamiliki vichwa 50 vya silaha za nyuklia, ambavyo vinaweza kufyatuliwa kwa kombora la balestiki la ardhini. Moja ya vichwa hivyo ni kile cha Jericho III ambacho kina uwezo wa kwenda umbali wa kilomita 5,500.
Mwaka jana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilifichua kuwa, kuna vichwa zaidi ya 80 vya nyuklia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) na hakuna hata kimoja kati ya vichwa hivyo vya nyuklia kilichoko ndani ya ardhi ya Iran.
Kwa sasa Marekani, Russia, Uingereza, Ufaransa, China, India, Pakistan, Korea Kaskazini na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo zenye kumiliki silaha za nyuklia ambapo mpaka kufikia sasa, zinamiliki zaidi ya vichwa 14,000 vya nyuklia.
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendesha shughuli zake za nyuklia kwa kificho huku ukiungwa mkono na Marekani hauko tayari kujiunga na Mkataba wa NPT unaopiga marufuku uundaji na uenezaji silaha za nyuklia.View attachment 1130787
Dunia inashangaza sana , yaani kuna watu wanawapangia wenzao kipi wamiliki na kipi wasimiliki !!!SIPRI: Israel ina vichwa 100 vya silaha za nyulklia
Jun 17, 2019 07:51 UTC
Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel unamiliki takriban vichwa 100 vya silaha za nyuklia.
Ripoti ya taasisi hiyo iliyotolewa leo Jumatatu imebainisha kuwa, Tel Aviv inamiliki mabomu 30 aina ya gravity (yasiyo ya kuelekezwa) yanayoaminika kuundwa kwa ajili ya kuvurumisha silaha za nyuklia.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo mpya ya SIPRI, utawala wa Kizayuni wa Israel ambao ndiye mmiliki pekee wa silaha za nyuklia katika eneo la Asia Magharibi, unamiliki vichwa 50 vya silaha za nyuklia, ambavyo vinaweza kufyatuliwa kwa kombora la balestiki la ardhini. Moja ya vichwa hivyo ni kile cha Jericho III ambacho kina uwezo wa kwenda umbali wa kilomita 5,500.
Mwaka jana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilifichua kuwa, kuna vichwa zaidi ya 80 vya nyuklia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) na hakuna hata kimoja kati ya vichwa hivyo vya nyuklia kilichoko ndani ya ardhi ya Iran.
Kwa sasa Marekani, Russia, Uingereza, Ufaransa, China, India, Pakistan, Korea Kaskazini na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo zenye kumiliki silaha za nyuklia ambapo mpaka kufikia sasa, zinamiliki zaidi ya vichwa 14,000 vya nyuklia.
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendesha shughuli zake za nyuklia kwa kificho huku ukiungwa mkono na Marekani hauko tayari kujiunga na Mkataba wa NPT unaopiga marufuku uundaji na uenezaji silaha za nyuklia.View attachment 1130787
Sisi wa huku nguruwira kijijini tumepata taarifa hii ,unahisi Téhéran wamelala?Iran ijiandae itapigwa vichwa viwili tuu chaliii