SIPRI: Israel ina vichwa 100 vya silaha za nyulklia

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,839
17,437
SIPRI: Israel ina vichwa 100 vya silaha za nyulklia
Jun 17, 2019 07:51 UTC
Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel unamiliki takriban vichwa 100 vya silaha za nyuklia.
Ripoti ya taasisi hiyo iliyotolewa leo Jumatatu imebainisha kuwa, Tel Aviv inamiliki mabomu 30 aina ya gravity (yasiyo ya kuelekezwa) yanayoaminika kuundwa kwa ajili ya kuvurumisha silaha za nyuklia.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo mpya ya SIPRI, utawala wa Kizayuni wa Israel ambao ndiye mmiliki pekee wa silaha za nyuklia katika eneo la Asia Magharibi, unamiliki vichwa 50 vya silaha za nyuklia, ambavyo vinaweza kufyatuliwa kwa kombora la balestiki la ardhini. Moja ya vichwa hivyo ni kile cha Jericho III ambacho kina uwezo wa kwenda umbali wa kilomita 5,500.
Mwaka jana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilifichua kuwa, kuna vichwa zaidi ya 80 vya nyuklia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) na hakuna hata kimoja kati ya vichwa hivyo vya nyuklia kilichoko ndani ya ardhi ya Iran.
Kwa sasa Marekani, Russia, Uingereza, Ufaransa, China, India, Pakistan, Korea Kaskazini na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo zenye kumiliki silaha za nyuklia ambapo mpaka kufikia sasa, zinamiliki zaidi ya vichwa 14,000 vya nyuklia.
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendesha shughuli zake za nyuklia kwa kificho huku ukiungwa mkono na Marekani hauko tayari kujiunga na Mkataba wa NPT unaopiga marufuku uundaji na uenezaji silaha za nyuklia.
4bpt02ab3e193319dmo_800C450.jpeg
 
Israel hawezi kuzitumia sababu anajua akizutumia ndo mwisho wake, yani zimebaki kama mtu kashikilia njiti ya kiberiti akisogezewa petrol inamripua yeye.
Si Israel tu kama anazo, Russia, UK, France, US, China n.k. hawawezi kuzitumia sababu Purpose kubwa ya Nukes katika Modern War Doctrine ni kwaajili ya kutishana ili msishambuliane (Deterrence).
 
SIPRI: Israel ina vichwa 100 vya silaha za nyulklia
Jun 17, 2019 07:51 UTC
Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel unamiliki takriban vichwa 100 vya silaha za nyuklia.
Ripoti ya taasisi hiyo iliyotolewa leo Jumatatu imebainisha kuwa, Tel Aviv inamiliki mabomu 30 aina ya gravity (yasiyo ya kuelekezwa) yanayoaminika kuundwa kwa ajili ya kuvurumisha silaha za nyuklia.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo mpya ya SIPRI, utawala wa Kizayuni wa Israel ambao ndiye mmiliki pekee wa silaha za nyuklia katika eneo la Asia Magharibi, unamiliki vichwa 50 vya silaha za nyuklia, ambavyo vinaweza kufyatuliwa kwa kombora la balestiki la ardhini. Moja ya vichwa hivyo ni kile cha Jericho III ambacho kina uwezo wa kwenda umbali wa kilomita 5,500.
Mwaka jana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilifichua kuwa, kuna vichwa zaidi ya 80 vya nyuklia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) na hakuna hata kimoja kati ya vichwa hivyo vya nyuklia kilichoko ndani ya ardhi ya Iran.
Kwa sasa Marekani, Russia, Uingereza, Ufaransa, China, India, Pakistan, Korea Kaskazini na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo zenye kumiliki silaha za nyuklia ambapo mpaka kufikia sasa, zinamiliki zaidi ya vichwa 14,000 vya nyuklia.
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendesha shughuli zake za nyuklia kwa kificho huku ukiungwa mkono na Marekani hauko tayari kujiunga na Mkataba wa NPT unaopiga marufuku uundaji na uenezaji silaha za nyuklia.View attachment 1130787
Nikishaona mtu anaanza kwa kusema taifa haramu la Israel tayari najua akili yake ikoje
 
Ila mkuu ukiangalia list ya strongest millitaries mbona wanatupa ripoti kuwa Iran anavyo vinu vya nuclear?!
Embu tufafanulie mkuu
 
Ni kweli Iran ana kinu cha kinyuklia kwa ajili ya uzalishaji wa umeme, shida Ni ile takata yake baada ya uzalishaji umeme ambao madini yatumikayo ktk kinu hicho Ni uranium, urutubishaji wake ukifikia kiwango flani unakuwa na uwezo wa kutengeneza bomu la kinyuklia...Ila Nina hakika kwa Sasa Iran Hana bom la nyuklia Ila angeacha atleat miaka miwili angemiliki....waajemi Wana akili Sana wale .
 
SIPRI: Israel ina vichwa 100 vya silaha za nyulklia
Jun 17, 2019 07:51 UTC
Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imefichua kuwa, utawala haramu wa Israel unamiliki takriban vichwa 100 vya silaha za nyuklia.
Ripoti ya taasisi hiyo iliyotolewa leo Jumatatu imebainisha kuwa, Tel Aviv inamiliki mabomu 30 aina ya gravity (yasiyo ya kuelekezwa) yanayoaminika kuundwa kwa ajili ya kuvurumisha silaha za nyuklia.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo mpya ya SIPRI, utawala wa Kizayuni wa Israel ambao ndiye mmiliki pekee wa silaha za nyuklia katika eneo la Asia Magharibi, unamiliki vichwa 50 vya silaha za nyuklia, ambavyo vinaweza kufyatuliwa kwa kombora la balestiki la ardhini. Moja ya vichwa hivyo ni kile cha Jericho III ambacho kina uwezo wa kwenda umbali wa kilomita 5,500.
Mwaka jana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilifichua kuwa, kuna vichwa zaidi ya 80 vya nyuklia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) na hakuna hata kimoja kati ya vichwa hivyo vya nyuklia kilichoko ndani ya ardhi ya Iran.
Kwa sasa Marekani, Russia, Uingereza, Ufaransa, China, India, Pakistan, Korea Kaskazini na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo zenye kumiliki silaha za nyuklia ambapo mpaka kufikia sasa, zinamiliki zaidi ya vichwa 14,000 vya nyuklia.
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendesha shughuli zake za nyuklia kwa kificho huku ukiungwa mkono na Marekani hauko tayari kujiunga na Mkataba wa NPT unaopiga marufuku uundaji na uenezaji silaha za nyuklia.View attachment 1130787
utawala haramu wa Iran
 
Dunia inashangaza sana , yaani kuna watu wanawapangia wenzao kipi wamiliki na kipi wasimiliki !!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom