Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,846
Hata Mimi najiuliza humu sasa pamekuwa fbNinachotaka kujua huyu jamaa anajiita handsom kajuaje
Fedha ipo?Hodi humu ndani,
Sijui ninakasumba gani mimi, nimahiri kwenye kutongoza lakini kukataliwa ni suala la kawaida sana japo kuwa mimi ni kijana handsome na mwenye sifa zote.
muonee huruma mwenzio!!fanya kumtunuku tu basi maana jamaa inaonekana kazidiwa!!Jomonii[emoji16][emoji16]
Ameamua kujikubali mwenyeweNinachotaka kujua huyu jamaa anajiita handsom kajuaje
Hahaa mtu anasema anakataliwa na kila mwanamke halafu unamwambia atafute Mke aoeMshukuru Mungu umeepukana na mengi, kupendwa na wanawake haikutajwa popote kwenye vitabu kama ni sifa ambayo mwanamme anastahili awe nayo. Kama huna mapungufu yoyote tafuta mke uoe ndie anae stahili akupende. Wala usijitie harama kwamba lazima upendwe ukifika muda wako watakupenda lakini sio kwa njia iyo unayoitaka wewe sasa ivi ya kufanya zinaa.