kilian george
Member
- Aug 24, 2015
- 14
- 12
Umekataliwa na wangapi? Ukiona hivyo ujue kuna tatizoKijana handsome unajijua je
Ninachotaka kujua huyu jamaa anajiita handsom kajuajeUmekataliwa na wangapi? Ukiona hivyo ujue kuna tatizo
Hodi humu ndani,
Sijui ninakasumba gani mimi, nimahiri kwenye kutongoza lakini kukataliwa ni suala la kawaida sana japo kuwa mimi ni kijana handsome na mwenye sifa zote.
Vp umetongoza wangapi wamekukatalia?Hodi humu ndani,
Sijui ninakasumba gani mimi, nimahiri kwenye kutongoza lakini kukataliwa ni suala la kawaida sana japo kuwa mimi ni kijana handsome na mwenye sifa zote.
nenda mkoa wa singida au mtwara na hapo ukishindwa basi tenaHodi humu ndani,
Sijui ninakasumba gani mimi, nimahiri kwenye kutongoza lakini kukataliwa ni suala la kawaida sana japo kuwa mimi ni kijana handsome na mwenye sifa zote.
Poa banaVp umetongoza wangapi wamekukatalia?
Kwa Dunia ya sasa bora ukataliwe tu
Vp unapesa?
Kama hela huna watoto wazuri utawaita shemeji
Na ukikataliwa na wanawake wawili jua una nuksi
Pole bana
Handsome pesa baba..jidanganye hivyo hivyo!
Halafu uache ushamba..you are a Leo! born on August 17th...maswala ya kupiga picha na mapozi ya mbuta nanga uyapunguze!
we love to be loved (Leos) nadhani ndicho kinacho kusumbua!
kwabahati nzuri tumezaliwa wote August..ila mm 15. .same year! sema umesoma ushambani huko Pomerin Iringa! ahahh