Sipendi wanaume!!

Huyo mama anayechukia wanaume aje tuishi mtaa mmoja kwa sababu sipendi wanawake hasa ninapoona wamenunua makalio ya bandia wamebadili sura kutoka mwenye uhalisia na kufanana na midoli na bays zaidi wanapoteza muda kujiuza na kueatafuta wanaume kwa UDI na uvumba Matokeo ni kutupa watoto natamani nimuombe Mungu hayo makalio bandia na kutupa watoto Mungu awasamehe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…