Sipendi wanaume!!

Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'

Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
pole sana lkn hata usipowapenda lakini mwisho wa siku utaingia ndani ya nyumba ya huyo usiempenda
 
Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'

Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
Kabisa endelea na msimamo wako mpaka utakapokuwa mwanamke.wanaume hawaumizi wanawake, wanaumiza wasichana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ur great thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…