chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,166
- 2,416
Nahisi kuna uhitaji mkubwa unapofanyia kazi management ireview motivational packages zao, vinginevyo we ni burden kubwa.Habari ndugu zangu
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nina taaluma ya uhasibu ngazi ya degree ila nimekuwa siipendi hii kazi. Nimesoma hii kozi sababu ya kukosa option kulingana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. So hata perfomance yangu iko low kwenye hii field. So wakuu nakuwa stressed sana naomba ushauri wenu.
Poa poa shukraniKama upo town jipange uanza kusomea taaluma unayoipenda huku unafanya kazi. Tena anza sasa wala usingoje.
Kama upo town jipange uanza kusomea taaluma unayoipenda huku unafanya kazi. Tena anza sasa wala usingoje.
Kuna jamaa nilisoma naye alikuwa in service, anakaa DSM anakuja kusoma Moro. Hadi tukamaliza naye.Ila si lazima uende ukae chuo kabisa?. Maana kozi nyingine ni full time.
Hapo poa kaka shukrani sanaKuna jamaa nilisoma naye alikuwa in service, anakaa DSM anakuja kusoma Moro. Hadi tukamaliza naye.
Ikiwa kazi yako haikubani sana unaweza kusoma tu hata kama ni full time programme.
So, angalia nafasi yako tu hapo.