Sipendi hakika sipendi !

Unaniona nakunywa chai, then unaniuliza "unakunywa chai?"
"unafua?"
nikujibu nini wakati unauliza jibu?
SPENDI .
 
Mi sipendi M-PESA, TIGO PESA, ...... zinarahisisha kuhonga.
 
Sipendi kupanda daladala, na pia sipendi kununua gari
 
cpendi nikiwa naandika hii comment afu mtu wa pemben yangu kakodoa mimacho kuisoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…