Sipendi hakika sipendi !

Sipendi tabia ya mtu kujifanya anadiss Clouds FM kwenye forum, afu ukifika muda wa XXL unalikuta limetune 88.4
 
sipendi viwanja vya gezaulole vinapotangazwa wananchi wanachukua fomu halafu wanaoewa mawaziri, wengine kupata hadi upenyeze rupia...
 
sipendi siku za weekend trafiki kibaaaaaaooooo mjini......
 
>unamkuta demu kakuzimia hadi unagundua,afu ukimtokea anakuzunguusha hadi kukubalia..Hiyo nayo sipendii
 
sipendi ex anapojifanya kakukumbuka saa sita usiku na kukupigia.......loh
 
Sipendi kabisa hii tabia.:sleepy:

Na ile ya vijanadume anam'date Mususu kwa minajili ya ku'do, Mususu anadai yuko NASA, Bingwa anahisi kutoamini akidhani pengine ana agenda tofauti.
Anamkomalia wakutane, hatimae Mususu anakubali kuja, wakutanapo Bingwa anadai apewe mzigo, bibie anajitetea vilevile, thn kidume kinadai mpaka kihakiki, na hadi kioneshwe tomato source ndiyo kiridhike.
SIPENDI .
 
muda huo nipo na wewe baby Kaizer, halafu ex anapiga, mbaya zaidi anatumia namba ngeni, unapokea ukiwa na hofu usiku huu kuna nini tena, lahaula unaambiwa "nimekukumbuka kweli".... aaargh kama si utoto huu ni nini?


na saa izo uko na nani baby BADILI TABIA?:eek2:
 
Last edited by a moderator:
kumbe wengine ni "matomasoooo" mpaka washuhudie redi redi



 
Sipendi mtu analazimisha mawasiliano wakati ana ndugu na jamaa kibao wa kuwasiliana nao.
 
Heheheeeeeee.........Na muda si mrefu nimetoka kuoga chooni.
 
Sipendi jaman sipendi wanaume na wanawake mnakuwa na wenz wenu afu mnatoka nje. kdo wat jaman sipend mie yan masugar mamy and dady na mnaotesa familia za wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…