M Mkodoleaji JF-Expert Member Joined Apr 27, 2008 Posts 458 Reaction score 138 Apr 23, 2011 #1 Jamani sipati TV channels za ITV, CAPITAL na EATV kutoka kwenye king'amuzi cha Easy TV, je kuna mtu yeyote mwenye msaada/taarifa?
Jamani sipati TV channels za ITV, CAPITAL na EATV kutoka kwenye king'amuzi cha Easy TV, je kuna mtu yeyote mwenye msaada/taarifa?
Uncle Rukus JF-Expert Member Joined Jun 16, 2010 Posts 2,415 Reaction score 398 Apr 23, 2011 #2 Mkodoleaji said: Jamani sipati TV channels za ITV, CAPITAL na EATV kutoka kwenye king'amuzi cha Easy TV, je kuna mtu yeyote mwenye msaada/taarifa? Click to expand... wasiliana na hao jamaa kwenye red....
Mkodoleaji said: Jamani sipati TV channels za ITV, CAPITAL na EATV kutoka kwenye king'amuzi cha Easy TV, je kuna mtu yeyote mwenye msaada/taarifa? Click to expand... wasiliana na hao jamaa kwenye red....
Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,043 Reaction score 788 Apr 23, 2011 #3 zungusha antena
jcb JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 280 Reaction score 66 Apr 23, 2011 #4 Kuna fundi wao anaitwa Andrew nimewasiliana nae mchana ameniambia wana tatizo la signal hata uuzaji wa ving'amuzi wamesitisha mpaka wiki ijayo.
Kuna fundi wao anaitwa Andrew nimewasiliana nae mchana ameniambia wana tatizo la signal hata uuzaji wa ving'amuzi wamesitisha mpaka wiki ijayo.
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,386 Apr 23, 2011 #5 jcb said: Kuna fundi wao anaitwa Andrew nimewasiliana nae mchana ameniambia wana tatizo la signal hata uuzaji wa ving'amuzi wamesitisha mpaka wiki ijayo. Click to expand... Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi.
jcb said: Kuna fundi wao anaitwa Andrew nimewasiliana nae mchana ameniambia wana tatizo la signal hata uuzaji wa ving'amuzi wamesitisha mpaka wiki ijayo. Click to expand... Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi.
U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 628 Apr 23, 2011 #6 Mjepu said: Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi. Click to expand... Huyu Jamaa anaulizia EASY TV na sio START TIMES we sio mtu makini na ndio maana humuelewi Dk wa Ukweli SLAA
Mjepu said: Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi. Click to expand... Huyu Jamaa anaulizia EASY TV na sio START TIMES we sio mtu makini na ndio maana humuelewi Dk wa Ukweli SLAA
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Apr 23, 2011 #7 Mjepu said: Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi. Click to expand... Mjepu mbona umerukia mada bila kuielewa hapa tunazungumzia easy tv ya long time 2007 we unazungumzia Star Times vitu viwili tofauti.
Mjepu said: Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi. Click to expand... Mjepu mbona umerukia mada bila kuielewa hapa tunazungumzia easy tv ya long time 2007 we unazungumzia Star Times vitu viwili tofauti.
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Apr 23, 2011 #8 Uswe said: Huyu Jamaa anaulizia EASY TV na sio START TIMES we sio mtu makini na ndio maana humuelewi Dk wa Ukweli SLAA Click to expand... kakurupuka huyo
Uswe said: Huyu Jamaa anaulizia EASY TV na sio START TIMES we sio mtu makini na ndio maana humuelewi Dk wa Ukweli SLAA Click to expand... kakurupuka huyo
Jitihada Senior Member Joined Feb 6, 2011 Posts 155 Reaction score 10 Apr 24, 2011 #9 Mjepu said: Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi. Click to expand... tehetehetehetehe, huku ni zaid ya kukurupuka maana swali hulijui na jibu pia hulijui.
Mjepu said: Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi. Click to expand... tehetehetehetehe, huku ni zaid ya kukurupuka maana swali hulijui na jibu pia hulijui.