Juzi nimeletewa mke,ni mzuri na dini anaijua ila tatizo nikambiwa kuwa mechi inaanza na 2-0.ikabidi kidume nichimbekawaida mechi huanza bila bila
Ana miaka mingapi?Juzi nimeletewa mke,ni mzuri na dini anaijua ila tatizo nikambiwa kuwa mechi inaanza na 2-0.ikabidi kidume nichimbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wazee wa kubet tunaita hiyo Handicap.Juzi nimeletewa mke,ni mzuri na dini anaijua ila tatizo nikambiwa kuwa mechi inaanza na 2-0.ikabidi kidume nichimbe
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahPleaseeeeeee naombeni msiwaoe single mothers, domo zege tutapata tabu sana maana hao ndio wakombozi wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya wanaume tumekuwa malimbukeni wa kuogopa kuwaoa single mother.
Sijajua tatizo ni mtu kuogopa majukumu ya kulea mtoto uliyemkuta na mwanamke ama ni nini.!!.
Kama ni mtu kujiaminisha kuwa huwezi oa mwanamke aliyekwisha zaa ndugu zangu mnajidanganya. Kwa dunia ya sasa wanawake wanatoa mimba sana. Wengine hadi za miezi mitano. Kwangu mimi mwanamke anayetoa mimba hana tofauti na mwanamke aliyezaa ila mtoto akafariki.
Hivyo ndugu zangu ukipata mwanamke ukampenda mwoe hata kama ana mtoto, kuliko kujiaminisha kwa hawa wasio na watoto wakati washauwa watoto kibao na kupitishiwa mikasi wakati wa abortion.
Single mother sikushauri,ila at the end of the day maamuzi Ni yako, usisahau kuleta mrejeshoDaaaa nilikuwa nawazaa hapa nioe single mother japo ana kazi mwingine sio cyo single mother hana kazi cjui nipitie wapi mmeshanichnganya nimtupilie mbali single mother nini
Sent using Jamii Forums mobile app