Sioni sababu ya kuendelee kuipenda serikali hii- mshahara hakuna tena mwanza .

jitu la kale

Member
Dec 29, 2010
77
18
Jaman serikali hii ya ccm haiweze tena kulipa mshahara kwa wakati maana mshahara wa mwezi wa tano tulilipwa mwezi wa sita tarehe 11,wa mwezi huu hata haijulikani lini maana mwajiri wetu anadai hela hazijatumwa toka azina kuu maana hakuna kabisa,zilikuwa ndogo zikapelekwa baadhi ya mikoa na zikaisha.Hivyo kwa Mwanza tusubili labda wakope kope sehemu ndo tutalipwa hivyo hivyo kwa mafungu.... Rai ambao hamna kazi msitukane plz maana nitawapeleka mahakaman kama P.M..MIA
 
kuna picha moja ya katuni niliiona kule photo kama sikosei inasnerio hii unayoongelea hapa ungekuwa mwalimu ningekushauri uanzishe mradi wa kuuza ubuyu na karanga na kuwakopesha wanafunzi kilazima ili upate helaa..
 
Pole sana. Hii ndiyo serikali tuliyoichagua na bado ina miaka miwili kuendelea kuwepo madarakani.
 
kuna picha moja ya katuni niliiona kule photo kama sikosei inasnerio hii unayoongelea hapa ungekuwa mwalimu ningekushauri uanzishe mradi wa kuuza ubuyu na karanga na kuwakopesha wanafunzi kilazima ili upate helaa..
ha ha ha ha juzi nilimuuliza mwanangu mmesoma nini shule leta madaftari yako nione kanambia ''baba leo walimu wameingia darasani wawili tu kuuza ubuyu na kacholi hatujaandika wala kusoma chochote"
 
njaa inauma nyie! Ada za watoto na viatu- shule karibia zinaanza, kazini tunaenda tu kusaini lakini kisaikolojia tumeathirika. Natamani kurudia kazi yangu ya kupika gongo kabla sijaajiriwa lakini ndiyo hivyo mihogo hakuna....Kikwete na CCM wafanyakazi tutawakumbuka milele yote, Amina!

Ndebile,
Mwashilalage, P. O. Box. Private Bag, Kwimba Mwanza.
 
Kiukweli hii hali inakela, kwanini iwe Mwanza kila mwezi? Mbn mikoa mingine km Dodoma, Mbeya na majirani zetu Geita hawafanyiwi huu upuuzi? Nadhani kuna haja ya kuungana na kuandamana hadi kunakostahili ili tupate jibu sahihi la sababu ya hili.
 
Ngoja jamatatu tukapachimbe pale jiji maana ni haki yetu, na Pinda aje atume askari wake ili WATUPIGE TU.khaa na akiitwa -------- anakimbilia mahakaman
 
Kesho mshahara usipoingia, nahisi nitakuwa miongoni mwa watakao pachimba halmashauri
 
Natamani mpaka kuhama huu mkoa jamani,inaniuma kuona haki yangu ya msingi nabaniwa na hii serikal ya baba Riz.Mola atawalaani..!!
 
Back
Top Bottom