Lakini hii hana maana ndio tukose wengine wapya kinachohitajika ni kuwa committed na kuacha mambo yasiyokuwa ya kimpiraEnzi za ma referee legendary watanzania kama kina Gwaza Mapunda (R.I.P) zimepita.
Enzi za ma referee legendary watanzania kama kina Gwaza Mapunda (R.I.P) zimepita.
wao wanafikiria sisi washabiki tuende uwanjani tu wakusanye mapato na kulumbana kila siku ila kuwa na ubunifu wanashindwa kabisa. Wanshindwa kuelewa kuwa marefarii pia ni muhimu sana katika kutangaza ubora wa taifa kisoka. Sasa hivi wanakazana kulumbana nani amrithi Marcimo, mambo ya ajabu sana hayaChama cha mpira kinafanya juhudi gani kuinua kiwango cha mareferee? au wao wanajisikiaje wanapoona hali kama hii??. hao akina Gwaza Mapunda nafikiri zilikuwa juhudi zao binafsi
wao wanafikiria sisi washabiki tuende uwanjani tu wakusanye mapato na kulumbana kila siku ila kuwa na ubunifu wanashindwa kabisa. Wanshindwa kuelewa kuwa marefarii pia ni muhimu sana katika kutangaza ubora wa taifa kisoka. Sasa hivi wanakazana kulumbana nani amrithi Marcimo, mambo ya ajabu sana haya
Ni kweli but we need to change for sureSoka ya bongo ubabaishaji tu.,kwa aina ya referees tulionao sasa tusitegemee kusikia hata mmoja kaitwa ku-officiate kwenye international tournaments zaidi labda ya mashindano ya CECAFA.
Soka ya bongo ubabaishaji tu.,kwa aina ya referees tulionao sasa tusitegemee kusikia hata mmoja kaitwa ku-officiate kwenye international tournaments zaidi labda ya mashindano ya CECAFA.