Me namsaidia kujibu, wasio mvutia ni wale washamba kabisa, sasa yeye born town nin, anataka wa born town mwenzie yeyote.Hili nalo swali ,unakuta huyo mtu anayelalama hapa ni kituko cha karne ila yeye anataka kudate jidada high expensive [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee mwenyewee nakutana na changamoto zinazofanana Kama zako....au yule nnayemuona mi wife material nakuta achakuaoccupied tayari...du n hatar xnaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Atupie picha tumthaminisheMe namsaidia kujibu, wasio mvutia ni wale washamba kabisa, sasa yeye born town nin, anataka wa born town mwenzie yeyote.
Shida ndo hiyo nyodo zimezidi kisa, vinafatwa sawa basi vinaona vimepatia maisha.
Sifa ya mwanaume ni ipi
Ebu nitumie picha na mm nione niko kundi lipi wanaona mbaya au handsomeHahaa hili swali gumu, kuna wadada wanavutiwa na mm, ila mm sivutiwi nao
Kwahiyo ukiniuliza kama mm navutia au la, i think inategemea na macho ya mdada husika, wengine wananiona nina sura mbaya wengine wananiona mm handsome Joline
Hao wanaojibu SMS kwa pozi...ndo wanakuona mbaya SANA. Alafu utakua mbaya Sasa. Unafikiria wanawake hawana macho ya Kuona mahansome Kama wewe unavyoo a wazuriHahaa hili swali gumu, kuna wadada wanavutiwa na mm, ila mm sivutiwi nao
Kwahiyo ukiniuliza kama mm navutia au la, i think inategemea na macho ya mdada husika, wengine wananiona nina sura mbaya wengine wananiona mm handsome Joline
Hakuna mwanamke anaefanana na sokwe..Sema wewe una standard zako za mwanamke unaemtaka. NA HUTOMPATA.utaangaika sanaKwani Siku zote tunakutana na wanaofanana na sokwe?
Labda kwanza tafuta vijisent kdg na wewe uvutie maana hatuwezi jua sisi ni wasoma comments tu
Wanawake pia wanapenda wanaume wazuri... Yoyote mwenye macho anapenda vinavyovutia...Unafikiri kuwa na mboo tu inatosha kumvutia mwanamke?.
Wanawake pia wanapenda wanaume wazuri... Yoyote mwenye macho anapenda vinavyovutia...Unafikiri kuwa na mboo tu inatosha kumvutia mwanamke?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuoneIngawa siko vizuri kiuchumi, ila nadhani hata nikipata tsh billion 100 sahiv, bado sitaona mke wa kuoa, hizi ndo changamoto ninazokutana Nazo
1) Namtongoza mdada, baada ya cku mbili nagundua huyu mdada yuko kimaslahi (anaomba sana hela), na hanipendi
2) Nikiangalia kule, mdada anafaa kuoa, ila hanivutii kabisaaa
3) Nikiangalia huku mdada ananivutia ila hana time na mm, anakupa namba ila ghetto haji, na SMS anajibu Kwa mapozi..
Sitafuti mdada perfect kwasabab hata mm siko perfect ila duuh, wanaume tuna kazi, kupata mchumba sahihi wa kuoa siku hizi ni vigumu sana.
Kautafute ule wimbo ya Msondo Ngoma uusikilize kwa kurudia rudiaIngawa siko vizuri kiuchumi, ila nadhani hata nikipata tsh billion 100 sahiv, bado sitaona mke wa kuoa, hizi ndo changamoto ninazokutana Nazo
1) Namtongoza mdada, baada ya cku mbili nagundua huyu mdada yuko kimaslahi (anaomba sana hela), na hanipendi
2) Nikiangalia kule, mdada anafaa kuoa, ila hanivutii kabisaaa
3) Nikiangalia huku mdada ananivutia ila hana time na mm, anakupa namba ila ghetto haji, na SMS anajibu Kwa mapozi..
Sitafuti mdada perfect kwasabab hata mm siko perfect ila duuh, wanaume tuna kazi, kupata mchumba sahihi wa kuoa siku hizi ni vigumu sana.
Agata eeh!!!π π π [emoji23] [emoji23]
Nakazia hapaNa hutokaa upate mwanamke anayejielewa na uandishi wa x badala ya s
Sent using Jamii Forums mobile app