Wewe je unavutia???
Na hutokaa upate mwanamke anayejielewa na uandishi wa x badala ya sAiseee mwenyewee nakutana na changamoto zinazofanana Kama zako....au yule nnayemuona mi wife material nakuta achakuaoccupied tayari...du n hatar xnaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah dunia inaenda kasii.Na hutokaa upate mwanamke anayejielewa na uandishi wa x badala ya s
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha basiHili nalo swali ,unakuta huyo mtu anayelalama hapa ni kituko cha karne ila yeye anataka kudate jidada high expensive
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ambae anakuvutia, anapendezeshwa na mwanaume wenzio ndo maana anakuvutia.
Huyoo ambae hakuvutii embu mhudumie kwanza ujue maana ya gharama za mwanamke Ndo urudi hapa kulia lia.
hapa nako pachungu mno, tena mno2) Nikiangalia kule, mdada anafaa kuoa, ila hanivutii kabisaaa
Kwani Siku zote tunakutana na wanaofanana na sokwe?Kuna wanawake hata ukiwavisha nguo na make up za mamilioni ya shillingi, bado watafanana na sokwe luckyline
Kwani Siku zote tunakutana na wanaofanana na sokwe?
Labda kwanza tafuta vijisent kdg na wewe uvutie maana hatuwezi jua sisi ni wasoma comments tu