mbona mnajifanya kama hamuwajui wabongo vizuri au nyie wote mnaishi masaki
usipokua na uzio wabongo watakunya uwanjani kwako
kama kuna miti ya matunda watoto wataponda mawe mpaka wavunje vioo
kama eneo ni kubwa watatengeneza njia kukatiza uwanjani
kama umeweka kabusatani wenye mbuzi na ng'ombe watageuza sehem ya malisho na mtashinda mnakimbizana
ukiacha viatu au ndala nje hutavikuta
ukishangaa hata mita ya maji itaibiwa