M Mastabenja Member Joined Mar 23, 2012 Posts 25 Reaction score 6 Mar 23, 2012 #1 Nimekuwa nikimchunguza sioi ktk kampeni hana mvuto wowote anapoongea ni kama kalazimishwa.uwezo wake wa kujenga hoja duni sana ananikumbusha kampeni zj karume 2005 ccm oye serikali itaboresha uvuvi ccm oye serikali itaboresha karafu ccm oye
Nimekuwa nikimchunguza sioi ktk kampeni hana mvuto wowote anapoongea ni kama kalazimishwa.uwezo wake wa kujenga hoja duni sana ananikumbusha kampeni zj karume 2005 ccm oye serikali itaboresha uvuvi ccm oye serikali itaboresha karafu ccm oye
F freduu Senior Member Joined Mar 23, 2012 Posts 124 Reaction score 40 Mar 23, 2012 #2 hiyo ni kweli arifu.Nansari lazima achukue arumeru
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Mar 24, 2012 #3 Karibu sana JF.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 24, 2012 #4 Hahahaaa hii nimeipenda.... JF inakukaribisha.....Chadema oyeeee....Jisikie uko nyumbani JF oyeeee
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,422 Reaction score 3,056 Mar 24, 2012 #5 Umeingia kwa dirishani? Mlango hujauona. Karibu sana JF.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,545 Reaction score 30,102 Mar 24, 2012 #6 nilidhani ID yako ni mastabeshen kumbe ni mastabenja kha... karibu sana mkuu.
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,658 Mar 24, 2012 #7 Sharobaro la MOMBASA HILO
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,965 Reaction score 13,944 Mar 24, 2012 #8 Karibu sana JF.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,965 Reaction score 13,944 Mar 24, 2012 #9 angel msoffe said: sharobaro la mombasa hilo Click to expand... makubwa km ni hivyo.