elishamwami
Member
- Apr 14, 2013
- 7
- 0
jamaa mmoja alienda kwny hifadhi,akaanza kujidai kwa walinzi kuwa yeye haogopi simba. basi wakamwonesha mti mmja ambao simba hupend kulala hapo na mtalii mmja akamwahd akikaa had waje simb atampa milion moja cos simba waliend kwnyw maji basi jamaa akaenda akasmam.Muda mfup ukapita smba wakaanza kuja akafika wa kwnz akamnusa nusa akasepa kule kw mbali mtalii na walinz wakstaajab balaa! wa pili hvyo hvyo had wa mwisho!bas kuona hvyo wakajua jamaa kawashind basi wakamwit jamaa aj chukua pesa zake,wakamwta jamaa akw kmya!wakamwta tena jamaa kmya!kumbe jamaa alishakuf kw pressure tangu zaman alipowaona simba wanakja!nd mana simba walipnusa walijua mzoga tu!