Katika hatua nyingine, Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe, ameapa kuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kutetea Watanzania wanyonge na kwamba haogopi vitisho uchwara vinavyotolewa na baadhi ya watu.
Alisema kamwe hawezi kukaa kimya akitazama namna Watanzania wanavyoporwa haki zao na viongozi wachache wenye uroho wa madaraka.
Hatuwezi kufumbia macho wizi huu unaoliangamiza taifa kwa hofu kuwa ni chama changu. Ubunge wangu ni kwa manufaa ya Wana Ludewa na Watanzania wote, hivyo, wanaonishambulia wao ndio maadui wa CCM na Watanzania, alisema mbunge huyo.
Alipuuza madai kuwa hatua yake ya kuungana na wapinzani katika suala la kutia saini kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ni hatua za kukihama chama chake.
Hata DAUDI BALALI alisema haogopi kufa lakini amekufa, vivyo hivyo HORICE KOLIMBA
huyu jamaa anafikiria 2015, usishangae 2014 akahamia cdm akagombania ubunge 2015 kwa ticket ya cdm, wabunge wengi ni ma hypocrites. Its always about them them and them and never their people..sasa huyu badala ya kutueleza nini atafanya kuhakikisha viongozi wanawajibishwa kila siku anasema yuko tayari kufa, well kufa atakufa tu siku moja hata asipokua tayari, acheni siasa za ajabu ajabu, watanzania wameamka sasa hivi mambo ya kuibiwa mchana kweupe na maneno yenu sasa hivi hamuambulii kitu
uAkina Anna Kilango, Ole sendeka wako wapi tuliwasifu sana JF baadaye tunaanza kuwatukana.
Twende taratibu kumwaga sifa nyingi mbele hatukujui
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe, ameapa kuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kutetea Watanzania wanyonge na kwamba haogopi vitisho uchwara vinavyotolewa na baadhi ya watu.
Alisema kamwe hawezi kukaa kimya akitazama namna Watanzania wanavyoporwa haki zao na viongozi wachache wenye uroho wa madaraka.
Hatuwezi kufumbia macho wizi huu unaoliangamiza taifa kwa hofu kuwa ni chama changu. Ubunge wangu ni kwa manufaa ya Wana Ludewa na Watanzania wote, hivyo, wanaonishambulia wao ndio maadui wa CCM na Watanzania, alisema mbunge huyo.
Alipuuza madai kuwa hatua yake ya kuungana na wapinzani katika suala la kutia saini kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ni hatua za kukihama chama chake.
Mnafiki mkubwa huyo. Alipokuwa jeshi la polisi kama msaidizi wa Mahiiita ji atuambie aliyoyafanya. Atoke CCM kama alivyojitoa MPENDA zoo.Hao mawaziri kama watafukuzwa kazi,watafukuzwa na Ikulu. Sasa . Filikunjombe atauawa na nani? Mbona tunaongea maneno bila mpangilio?
Huyu Filikunjombe naye siyo msafi kihivyo. Alipewa rushwa na TCRA ili kuisafisha kutokana na hesabu zake zilizokuwa zimejaa ufisadi. Anyamaze kimya kabisaaa
Hata DAUDI BALALI alisema haogopi kufa lakini amekufa, vivyo hivyo HORICE KOLIMBA
kama kweli ameamua kuwafia wananchi wa Ludewa, basi na awe wa kwanza kuuza suti zake, anunue mitumba ya kuvaa yeye, watoto wake, na wananchi wake. PUMBAVU! Ninyi wanasiasa kiama chenu ki karibu sana, mnaruka angani kila siku hali kuwa majirani zenu kapuku! Ilikuwaje mkapiga hatua ya mia, hali kuwa jirani yako ana moja? Wote wezi tu! Eti mnajiita wakombozi....PUMBAVU. CHE GUEVARA alisema hivi ...i am not a liberator, liberators do not exist. The people liberate themselves .....
Mama Rwakatare kwa nini ukiwa CCM unakuwa kama Msukule???!!!!!
Hakuna mtu anayeogopa kifo kwa kuwa kifo ni haki ya kila kiumbe chenye wahai!
Wewe kweli mama porojo lakini chunga magamba noma!!!! unaweza chunwa kama kiti motoSema tena sijasikia....huogopi kufanywa nini????????????
Ungekuwa jirani na Pinda angekuchapa kofi la kukosa uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility).
Hata DAUDI BALALI alisema haogopi kufa lakini amekufa, vivyo hivyo HORICE KOLIMBA
​una uhakikaHata DAUDI BALALI alisema haogopi kufa lakini amekufa, vivyo hivyo HORICE KOLIMBA