Siogopi kufa: Filikunjombe!

Sema tena sijasikia....huogopi kufanywa nini????????????

Ungekuwa jirani na Pinda angekuchapa kofi la kukosa uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility).

we utakuwa Anna Nkya sio bure maana kama unatumia Masaburi hivi!..
 
Mungu yu pamoja na wewe hakuna kiumbe atakayejaribu kufifiza jitihada zako za kuwazindua watanzania dhidi ya watu wenye uroho wa madaraka.....! kila siku MAJAHIL wanabuni mbinu mpya ya kukwapua mali za watanzaniaMPIGANAJI WATANZANIA TUPO BEGA KWA BEGA NA WEWE
 
Sema tena sijasikia....huogopi kufanywa nini????????????

Ungekuwa jirani na Pinda angekuchapa kofi la kukosa uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility).

we utakuwa Anna Nkya sio bure maana kama unatumia Masaburi hivi!..
 

Kweli we ni mtoto wa town!
Nimeipenda post yako.
 
Hakuna mtu anayeogopa kifo kwa kuwa kifo ni haki ya kila kiumbe chenye wahai!
 
Point of correction hakuna uthibitisho wa kifo cha Daudi Balali zaidi ya kauli ya Serikali.

ni bora umemwambia,ipo siku tutapata taarifa maana wanadhani siye ni wajinga wa kuamini kila upuuzi wanaoutoa kupitia njia ya haja kubwa badala ya midomo!
 
Hivi huyu anayetishia watu kifo anadhani yeye ana nini ambacho wengine hawana! Time will tell.
 
Mheshimiwa Filikunjombe. Usiogope kufa kwa kutetea haki kwani kila mtu atajua kuwa umekufa kishujaa. Hata hao wanaokutishia watakufa tu kwakuwa hakuna alie juu ya kifo
 
Kwanza nikupongeze Filikunjombe MP jasiri. Mungu yupo pamoja nawe kwani unasimamia ukweli. Hata kristu alikuja kushuhudia ukweli. Endelea Mungu yupo pamoja nawe usiogope nasi tunakuombea. Ni heri kufa kwa ajili ya kusimamia haki kuliko kufumbia macho ufisadi unaokisili nchini, unaumiza watanzania, unawanyima haki. Tuko pamoja Big up kaza kamba
 
usiogope kufa baba kila mtu atakufa tena watatangulia hao magamba! kama vip hamia air tel hachana na mitando hisiyojali wateja bhana
 
kwa hali ilivyo sasa hakuna mtanzania atakaye endelea kuogopa ujinga wa kutishiwa kuuwawa..
Kwani tiyari watu wameshauwawa kimwili..
ushauri wanu kwa kunjombe endapo rais atalivunja bunge aseme anawapatia vijana uwaziri na wewe ukaingia kichwa kichwa watakumwakyembe nawe uote mabaka mabaka na uvae gloves kama rooney awapo uwanjani na pama kama la micheal jackson kataa kabisa naona move hiyo wazee ccm wanataka wawangamize vijana wao wanaowaona viherehere shauri zako ukiingiwa na tamaa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…