Sio utamaduni wa wanaume wa Kitanzania/Africa

Hii sasa tofauti, from wht I know and believe your wife/husband is the closest friend you ever have! And therefore no special treatment that is important than just love, the unconditional love.
 
Hii sasa tofauti, from wht I know and believe your wife/husband is the closest friend you ever have! And therefore no special treatment that is important than just love, the unconditional love.
ni kweli ndugu yangu unayoyasema ila kwa wengi ni tofauti waTZ hatupendi kuonyesha mapenzi kwa wenzetu kwa uwazi tunaficha ficha ndio maana mtu anakuwa hana uhakika kama unampenda kweli

Kuna kipindi nilikuwa naenda kuogelea na wife na mtoto wangu (kipindi tuna mmoja) kule Wet n Wild kuna mama mmoja akaja kumwambia wife kuwa tunamdekeza mtoto na kumfanya aone maisha mazuri so siku tukiwa hatupo hatateseka sana nilishangaa sana ile kauli maana nani atakayemwonyesha mtoto kama anampenda kwa vitendo kama si wazazi wake
 
Kizazi cha Dot.Com hiki enzi zetu haya mambo tulikua tunamaliziana chumbani tuu!! Yaani mtoto aone unamkiss mama live do ilikua soo!!:becky:
 
Ila kama hujazoea hayo mambo ni vigumu sana. Mimi mwanzo nilikuwa naona noma lakini sasa imebidi nijizoelee tu, maana yeye anasema anapenda na eti hawezi kujizuia. ananichekeshaga anasema kama sipendi basi tukiwa barabarani kila mtu apite upande wake ili watu wasijue kama tupo wote. Sometimes utamsikia "natamani kukubeba", barabarani hapo!
 
Hahahahahaha kweli mkuu anamtanguliza wife/demu mbele yeye anakuja nyuma anaangalia watu wanavyo mthaminisha

Kuna member guest hapa anasema eti ukiona mwanaume wa KIAFRIKA anamfungulia mwanamke mlango wa gari kuna 2 either gari mpya au mke ni mpya akishakuwa used baasi atafungua mwenyewe :becky::becky:
 
huyu wa kwako mkali inaonyesha huyo kama ikitokea mnakuwa wawili watu hawawaoni anakurukia mara moja na kuanza kukupeti peti
 
Wewe sasa naona kuna mahusiano ya wawili wapendanao wanakuumiza sana na unataka uwasambaratishe. tafadhali naomba uwe gentleman!
 
Kuna member guest hapa anasema eti ukiona mwanaume wa KIAFRIKA anamfungulia mwanamke mlango wa gari kuna 2 either gari mpya au mke ni mpya akishakuwa used baasi atafungua mwenyewe :becky::becky:

:becky::becky::becky::becky::becky: hii ipo sana hata pale unapo fukuzia akikuomba salio jero wewe unaongeza buku lakini ukisha mega tu hata akikutumia tafadhari nipigie njemba ipo kimyaaaaaaaaaaaa wanaume wa kibongo wengi ndo zao kipya kinyemi
 
Kwa kweli nami naonaga noma mamaa kunishika mbele ya watu. nadhani huu ni utamaduni tu!
 
Kwa kweli nami naonaga noma mamaa kunishika mbele ya watu. nadhani huu ni utamaduni tu!
ila wabongo tuna matatizo nyumba ndogo inakupokea na mabusu tena hadharani unajifanya uoni noma ila mkeo aibu sijui mchawi wa mahusiano ya watz ni nani?
 
Hakuna kitu kinachoitwa utamaduni wa Mwafrika au Mtanzania.

Kumiliki gari na kuliendesha ni utamaduni wa mwafrika? Kama hivyo si ndivyo mbona mwayamiliki na mnayaendesha? Hapa ni mambo kuiga. iwapo unaweza kuinga mambo na yakakubalika basi unakuwa utamaduni mpya wa kwako.
 
Wanawake nao wanapenda kufanyiwa vitu hivyo ulivyovitaja. Si vibaya tukifanya hivyo kwani kuna mambo mengi si utamaduni wetu lakini tunafanya! Sioni ubaya wowote ukimfanyia mpenzi/mke wako mambo hayo!

I agree with you 110% mila nzuri huigwa na mila mbaya hupuuzwa.... ikiwa kitu kina manufaa hata kidini kinakubalika lakini kama ikiwa kinamadhara basi kinafaa kiepukwe.....
 
Hahahaha anaogopa watu wakijua kesho atashindwa kumega binti mwingine utambania ridhiki...
Du mzee perspective zako balaa ...............
Hahahahahaha kweli mkuu anamtanguliza wife/demu mbele yeye anakuja nyuma anaangalia watu wanavyo mthaminisha

Hapa ndiyo umenichosha kabisa..............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…