Sio ubahili, nilizimisi

Mshana mbona nene sana ulizimaliza? halafu ungeweka nyanya na tango pembeni lol usingehisi njaa mpaka jioni
 
Kuna makabila mawili tu Tanzania yanaongoza kwa "Financial Discipline" nayo ni WAPARE NA WAKINGA a.k.a The Mgayas na wote wanapenda sana Makande.

Isije kuwa MAKANDE ndiyo yanachangia kujenga ubongo wenye FINANCIAL DISCPLINE......Wataifti walifanyie kazi jamani-)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…